Walimu zaidi ya 10000 kukosa ajira

Dah how come tena inakuwa assumption wakati unasema yapo? Unaelewa unachoandika au umeshindwa kujibu ulichoulizwa?

hoja yangu ni kuwa walimu 10k+ watakosa ajira mwaka huu assumption zako ni kuwa graduate wamepungua mwaka huu kutokana na vifo, kufeli, kwende profeshen nyingine ninachosema upo wrong kwakuwa hizo assumption sio exclusive kwa mwaka huu tu hata miaka ya nyuma hayo yalikuwa tokea na tulikuwa na graduate wa ualimu 36000 kitu ninachoamini na sasa wapo hivyohivyo au idadi imeongezeka kama ilivyo kwa profesheni.
 
mkuu idadi ya wahitimu kwa profeshen mbalimbali imekuwa ikiongezeka ndio maana nikatumia takwimu za mwaka juzi kama ni hivyo sawa yote kheri japo huko nacte sijaona hizo data zako ukiweza nipa link i will be gratefuly.

pamoja sana
 
Mkuu niliwah kutoa hoja kama hii, nikabezwa xanaa ooh takwimu sio za kisomii,, oooh acha wivu,, usemalo laweza kutokea bt tutaamin hv punde wakitoa majina,,

Sheria ya mtandao ikipitishwa itakuhusu sana mzaz, kuna kipengele kinausu inshu ya mtu kutoa takwimu ambazo hazina ukwel na azijathibitishwa.
 
mkuu idadi ya wahitimu kwa profeshen mbalimbali imekuwa ikiongezeka ndio maana nikatumia takwimu za mwaka juzi kama ni hivyo sawa yote kheri japo huko nacte sijaona hizo data zako ukiweza nipa link i will be gratefuly.

pamoja sana

Ndio waitimu wa mwaka huu wamepungua so assumption za serikari may be zinalenga idadi ya wahitimu waliopo
 
We mtoa post pumba kweli, unajua ni vibali vingapi vilivyotolewa kwa waajiliwa wa diploma kwenda chuo 2011 zaidi ya vile vya 2010?
2010 ni 20+, kati yao walimu degree 9000+
2011 265+ huku walimu 3568, so toa takwimu real
 
kapeleka maombi ya walimu zaidi ysa elfu 30000/,lakini hajajibiwa atapewa wangapi
 
Labda nikusaidie kunielewa nilichokisema, ni hiviii..kati ya walioajiriwa hao 36000 wamo ndani yake waajiriwa wengine waliogundulika baadae kuwa waliomba ajira mpya tayari wakiwa ni waajiriwa, hivyo waliitia serikali usumbufu maana database ikawagomea walipoenda kuripoti vituo vipya hivyo wakaambiwa warudi kwenye vituo vyao vya mwanzo.
Hao 24000 waliosemwa safari hii ni pure pasipo kuwajumuisha walioomba ajira mpya, hivyo basi idadi iliyotajwa isikuyumbishe kuwa eti 10000 watakosa, hiyo takwimu yako ni fake kuliko uhalisia.
Pole sana na mawazo mgando ya kuifanya serikali haina akili. NAWASILISHAAAA
 
We jamaa kweli huelewi hata unachoandika na wala kupembua kilichoandikiwa, kuna sehemu nimesema idadi ya wahitimu itapungua kwa vifo, kufeli n.k? Nimekuuliza km 10000 wataachwa km unavyodai, Je nafasi za hawa watu zitakuwaje na wakati tayari majina yao yapo kwenye list ya wanaoajiriwa?

Pili una takwimu na namba kamili ya wahitimu wote wa cheti hadi shahada waliofaulu na kuhitimu vyuo vyote tz mpaka useme 10000 wataachwa? Tunaomba utupe facts bro sio maneno matupu.
 
Sina mkuu my assumption ni kuwa idadi ya wahitimu ni ileile nilashema kwenye post yangu mwanzo kama wewe unazo hizo data sio mbaya ukatujulisha nakubali kurekebishwa.

Basi subiri serikali iseme. Inakuwaje useme Walimu zaidi ya 10,000 watakosa ajira wakati kumbe huna uhakika na unachokisema na huwezi kukithibitisha? Badilisha title yako nafikiri ndio watu watakuelewa otherwise u'll be considered as a liar.
 
kapeleka maombi ya walimu zaidi ysa elfu 30000/,lakini hajajibiwa atapewa wangapi

''Hatupunguzi hata nafasi moja katika hizo, kama wameomba 34,000 basi watapewa zote'' - HAB Mkwizu, kaimu katibu mkuu ofisi ya raisi (Source: Tanzania Daima 10/4/2015 pg 5)
 
We mtoa post pumba kweli, unajua ni vibali vingapi vilivyotolewa kwa waajiliwa wa diploma kwenda chuo 2011 zaidi ya vile vya 2010?
2010 ni 20+, kati yao walimu degree 9000+
2011 265+ huku walimu 3568, so toa takwimu real
Uwe na adabu kijana hizo bolded ni takwimu real si ndio.
 
watu wapo kukatisha tamaaaaa tupu ashaambiwa waalimu si technician na hizi ni ajira za waalimu hataki elewa. tutasikia mengi ngoja tuwait iyo tareh 25
 
Kwa hiyo wewe unapingana na tamisemi? Iwapo tamisemi imetoa tamko hilo ww ni nani wa kukanusha?.kama haupo up to date sio lazima u comment Mkuu

wewe si ndo mwenye dhamana ya kusema kwakuwa ulitangaziwa na hao tamisemi. fanya vitu kisomi kama taarifa unayo weka hapa uwe uthibitisho sio unarukaruka tu mwishowe utaumbuka. tamisemi ndio wamekutangazia kuwa walimu zaidi ya 10000 watakosa ajira? issue nyingine umeambiwa lab technician sio mwalimu na hizi ni ajira za ualimu na si za lab technicians.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…