technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kumbe namba 5 alihujumiwa Sana
Hajawai fanya tukio lolote baya la hatari bila ushauri
Kumbe hakuwai kuteka Wala kulawiti ila wapambe walitumika Kama double agent na Maadui zake ili kuhujumu utawala wake
Sasa kumbe kinachoendelea ni karma watu wanalipiza kisasi ili ionekane huyu ni zaidi ya yule.
Watu wameapa mpaka namba sita ianguke Kama namba tano ilivyoanguka
Enemy's within!! Insides job
Tutaona mengi mwaka huu
Wachawi wanarogana halafu wanasingizia Chadema!!