Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Ndio tujifunze, mtu unaweza kumdharau kuwa hana hela kuliko ww ila mbinu anayo kuliko Bakhressa, huyu kama hajashirikiana na mkewe jamaa kumleftisha mumewe sijui.Hii lugha siyo poa hasa kwa unayedai kuwa alikuwa ni rafiki yako!! Hufai
Na kama amefanya ivyo Ww ukae ukijua utakuwa kondoo kwa huyo mwanamke shetani. Maana ukijitingisha tuu na ww atakuleftisha kamam alivyomleftisha mumewe halali wa ndoa.
Maana what goes around comes back around.
Huu muda wa kuja kujimwambafy hapa ungekuwa unaandaa jinsi ya kuwa kondoo mwaminifu kabla hatujakuandikia RIP