University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Hey!!!
Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza kubadilika,na goli la pili la la yanga hali kuwa goli la halali.
Tazameni vizuri ule mpira mle uwanjani kuliwa na mauchawi tu.