Walinzi hawakuwa makini mpaka wanamruhusu shabiki wa Yanga Kuingia katikai ya uwanja.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Hey!!!
Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza kubadilika,na goli la pili la la yanga hali kuwa goli la halali.
Tazameni vizuri ule mpira mle uwanjani kuliwa na mauchawi tu.
 
Ndo Mara ya kwanza unaona tukio kama lile? Sasa una faida gani kuitwa shabiki wa mpira?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey!!!
Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza kubadilika,na goli la pili la la yanga hali kuwa goli la halali.
Tazameni vizuri ule mpira mle uwanjani kuliwa na mauchawi tu.
Ndugu yule sio shabiki ni wale jamaa wanaitwa Shaster tv huwa ndio kiki zao na leo wanajipengeza kule insta kwenye account yao

Wanajitoaga akili kuna siku nyingine huyo jamaa alivua nguo na kuoga katikati ya watu pale kariakoo
 
Hawa hapa
Screenshot_20200105-141844.jpeg
Screenshot_20200105-141829.jpeg
 
Hey!!!
Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza kubadilika,na goli la pili la la yanga hali kuwa goli la halali.
Tazameni vizuri ule mpira mle uwanjani kuliwa na mauchawi tu.
Kama unaamini sana uchawi ungeandika na Uzi wa hirizi ya Kagere
 
Back
Top Bottom