University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Ndo Mara ya kwanza unaona tukio kama lile? Sasa una faida gani kuitwa shabiki wa mpira?Hey!!!
Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza kubadilika,na goli la pili la la yanga hali kuwa goli la halali.
Tazameni vizuri ule mpira mle uwanjani kuliwa na mauchawi tu.
Ndugu yule sio shabiki ni wale jamaa wanaitwa Shaster tv huwa ndio kiki zao na leo wanajipengeza kule insta kwenye account yaoHey!!!
Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza kubadilika,na goli la pili la la yanga hali kuwa goli la halali.
Tazameni vizuri ule mpira mle uwanjani kuliwa na mauchawi tu.
Kama unaamini sana uchawi ungeandika na Uzi wa hirizi ya KagereHey!!!