tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Ni kweli kabisa hawana vibanda vya kuwasitiri wakati wa mvua na jua kali!Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Suma jkt?Pale mawasiliano Kwenye zile ATM Kuna Mlinzi Mdada anatia Huruma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli nimeshangaa et mlinzi anaingia kwenye chumba cha kutolea hela au nje mlangoni anakaa hii ni hatari inawezamletea tamaa,au kumnyima mtoaji uhuru.Mbona siwaoni ktk vyumba vya bulk cash?Waache ulimbukeni wa kazi wanakera.Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Mkuu unashauri wakae umbali wa mita ngapi kutoka kwenye ATM?Kweli nimeshangaa et mlinzi anaingia kwenye chumba cha kutolea hela au nje mlangoni anakaa hii ni hatari inawezamletea tamaa,au kumnyima mtoaji uhuru.Mbona siwaoni ktk vyumba vya bulk cash?Waache ulimbukeni wa kazi wanakera.
... ukiingia usiwaangalie usoni; pita zako kama hi then hi fanya yako sepa.Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
... nadhani wanaingia mule kupooza mwili japo kidogo; kushinda nje juani mchana kutwa sio kazi ya kitoto. Mle ndani kuna ka-AC fulani hivi ndio marupurupu yao; urefu wa kamba zao ndipo unapoishia.Kweli nimeshangaa et mlinzi anaingia kwenye chumba cha kutolea hela au nje mlangoni anakaa hii ni hatari inawezamletea tamaa,au kumnyima mtoaji uhuru.Mbona siwaoni ktk vyumba vya bulk cash?Waache ulimbukeni wa kazi wanakera.
Kuna muda unakuta wamevuta sigara mule ndani, harufu mpaka basiHivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Pale mawasiliano Kwenye zile ATM Kuna Mlinzi Mdada anatia Huruma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yule Mdada mnene ivi 😀Pale mawasiliano Kwenye zile ATM Kuna Mlinzi Mdada anatia Huruma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Anataka aache kulinda mashine akae nje, hahaaaAnalinda atm so mwache alale ilipo machine
Unalifahamu baridi la Mbeya la mwezi wa 6 wewe?Walinzi wanatakiwa kukaa nje.
Nimekaa mbeya zaidi ya miaka kumi.Unalifahamu baridi la Mbeya la mwezi wa 6 wewe?