Walinzi ndani ya vyumba vya mashine za ATM

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
 
Ni kweli kabisa hawana vibanda vya kuwasitiri wakati wa mvua na jua kali!
 
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Kweli nimeshangaa et mlinzi anaingia kwenye chumba cha kutolea hela au nje mlangoni anakaa hii ni hatari inawezamletea tamaa,au kumnyima mtoaji uhuru.Mbona siwaoni ktk vyumba vya bulk cash?Waache ulimbukeni wa kazi wanakera.
 
Mkuu unashauri wakae umbali wa mita ngapi kutoka kwenye ATM?
 
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
... ukiingia usiwaangalie usoni; pita zako kama hi then hi fanya yako sepa.
 
Kweli nimeshangaa et mlinzi anaingia kwenye chumba cha kutolea hela au nje mlangoni anakaa hii ni hatari inawezamletea tamaa,au kumnyima mtoaji uhuru.Mbona siwaoni ktk vyumba vya bulk cash?Waache ulimbukeni wa kazi wanakera.
... nadhani wanaingia mule kupooza mwili japo kidogo; kushinda nje juani mchana kutwa sio kazi ya kitoto. Mle ndani kuna ka-AC fulani hivi ndio marupurupu yao; urefu wa kamba zao ndipo unapoishia.
 
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Kuna muda unakuta wamevuta sigara mule ndani, harufu mpaka basi
 
Watu wana roho nzuri
Yaani mtu nakuangalia kwa huruma kisha wewe unampa hela?
Mimi wewe angalia hata kwa jicho la upole hela hamna
Tufanye kazi mzee
 
Back
Top Bottom