KERO Walinzi SUMA JKT vituo vya SGR kukagua nguo binafsi wakati begi limeshakaguliwa na mashine si ustaarabu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
33
Reaction score
41
Hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa, ila wanachokifanya SUMA JKT ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja mabeg yenye faragha za kinamama.

Wakati mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha uwrap, kinachofanya SUMA JKT anaanza kutoa chupi moja moja anaikagua ni nini?

SGR inafanya kazi kwa ISO ipi? Maana ni aibu kweli tuangalie wenzetu kama wanatoaga na chupi wanazikagua maana nimeona yule mlinzi anatoa nguo moja moja, siku aje akutane na pedi ndio watajua wenywe.
 
Pole sana Mkuu kwa changaomoto uliyopitia. Mara nyingine uwe unajitahidi kuzifua hizo nguo mara kwa mara kwani chochote kinaweza kutokea.
 
Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.
 
Mirungi na bangi ni vitu visivyofaa?
 
hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa. ila wanachokifanya suma jkt ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja.mabeg yenye faragha za kinamama. wakat mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha u wrap kinachofanya suma jkt anaanza kutoa Chupi moja moja anaikagua ni nini? Sgr inafanya kaz kwa ISO ipi? maana ni aibu kweli tuamgalie wenzetu kama wanatoaga na chupi wanazikagua maana nimeona yule mlinzi anatoa nguo moja moja siku aje akutane na pedi ndio watajua wenywe
Watu wengi katika kazi hasa za kuajiriwa na umma reasoning yao ni ndogo sana.
Sanasana hapo ukiwauliza watakwambia "sheria ndivyo inataka" na akitokea mwanasiasa kesho yake akaongea tofauti utassikia wote wanafuatishia hivyo. SGR ni domestic na scanner zina uwezzo wa kuona kitu cha hatari kuzidi binadamu anavyoona
 
hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa. ila wanachokifanya suma jkt ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja.mabeg yenye faragha za kinamama. wakat mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha u wrap kinachofanya suma jkt anaanza kutoa Chupi moja moja anaikagua ni nini? Sgr inafanya kaz kwa ISO ipi? maana ni aibu kweli tuamgalie wenzetu kama wanatoaga na chupi wanazikagua maana nimeona yule mlinzi anatoa nguo moja moja siku aje akutane na pedi ndio watajua wenywe
Panda bus au nunua gari lako ..kama huwez fuata sheria zao
 
mimi nilifikiri watu wataungana nawe kukemea ujinga wa suma kumbe wengi akili mgando tu ,yani begi limepita kwenye scanner alafu linakaguliwa tena kwa kufunguliwa sasa kwenye scanner lilipita kupigwa picha ? ushamba
 
Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.
Sasa wewe mtu akisafirisha bangi inakuhusu nn au unapata hasara gani kama sio roho ya kutu????
 
Pole sana Mkuu kwa changaomoto uliyopitia. Mara nyingine uwe unajitahidi kuzifua hizo nguo mara kwa mara kwani chochote kinaweza kutokea.
mseven alijiseme "there are hopeless educated people"
 
Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.
sasa mirungi na bhangi inamadhara gani kwenye treni?
 
Back
Top Bottom