Mirungi na bangi ni vitu visivyofaa?Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.
Watu wengi katika kazi hasa za kuajiriwa na umma reasoning yao ni ndogo sana.hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa. ila wanachokifanya suma jkt ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja.mabeg yenye faragha za kinamama. wakat mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha u wrap kinachofanya suma jkt anaanza kutoa Chupi moja moja anaikagua ni nini? Sgr inafanya kaz kwa ISO ipi? maana ni aibu kweli tuamgalie wenzetu kama wanatoaga na chupi wanazikagua maana nimeona yule mlinzi anatoa nguo moja moja siku aje akutane na pedi ndio watajua wenywe
vinafaa sana mkuu.Mirungi na bangi ni vitu visivyofaa?
Ni vinavyokufaaMirungi na bangi ni vitu visivyofaa?
Panda bus au nunua gari lako ..kama huwez fuata sheria zaohatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa. ila wanachokifanya suma jkt ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja.mabeg yenye faragha za kinamama. wakat mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha u wrap kinachofanya suma jkt anaanza kutoa Chupi moja moja anaikagua ni nini? Sgr inafanya kaz kwa ISO ipi? maana ni aibu kweli tuamgalie wenzetu kama wanatoaga na chupi wanazikagua maana nimeona yule mlinzi anatoa nguo moja moja siku aje akutane na pedi ndio watajua wenywe
Sasa wewe mtu akisafirisha bangi inakuhusu nn au unapata hasara gani kama sio roho ya kutu????Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.
mseven alijiseme "there are hopeless educated people"Pole sana Mkuu kwa changaomoto uliyopitia. Mara nyingine uwe unajitahidi kuzifua hizo nguo mara kwa mara kwani chochote kinaweza kutokea.
sasa mirungi na bhangi inamadhara gani kwenye treni?Ped sio kitu cha ajabu , huyo afisa unadhani hajui ped ikoje? Sasahvi mambo mengi watu wanasafirisha vitu visivofaa mfano miringi bangi n.k sioni kosa la maafisa wa usalama hapo labda kama anayemkagua abiria wa kike awe ni afisa wa kiume.