KERO Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Form 4 - Kakonko tumelipwa posho pungufu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Walinzi si ni polisi? zimewatosha sana hizo mlizopewa maana mmezidi mwaka jana mliua hata watoto waliotakiwa kufanya mitahani! Shame on you!
 
Tumeambiwa kua nyie ni CCM. Kwa maana fupi nendeni kwenye ofisi z chama ndio mtackilizwa sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…