Wao ni walinzi tu ni sawa na Walinzi wa Bank au Stand au Sokoni.sasa mnashindwa nini kugawana mbao? kama nyie ndio mnasimamia kila kitu kwanini msichukue makusanyo ya nauli kwa siku mkajilipa then msepe? nyie wawapi askari mnalalamika kama raia hii mbona haijakaa sawa.
Kwa hiyo mkuu tunavyowaona pale kituoni na matumbo yenu makubwa hamjalipwa miezi mitatu? Ndiyo maana mmeanza kula rushwa ya kuingiza watu kwenye wale wa mahitaji maalum?Hali hii inaweza kupelekea wengine kuanza tabia za udokozi au wizi kwenye maeneo yao ya kazi licha ya kuwa sisi ndio tunategemewe kuhakikisha usalama wa miundombinu na mali za abiria vinakuwa salama, tunaweza kujiuliza usalama unapatikanaje kama watu hawalipwi stahiki zao.
Mkurugenzi anajisikiaje, uko ofisini umevaa tai huku watumishi wako hawajalipwa zaidi ya miezi mitatu; si bora uache ukurugenzi?