Sio alizima swali alenda kufanya nini backstageKwahiyo wewe ni mmoja kati ya wehu wanaoamini Sallam ndio alizima mic..!
We ndo mjinga wa mwisho mnaodanganya na yule mr MisifaMuache na ujinga wake
Kweli salam anatisha!Hadi wakenya wanamtii.Sio alizima swali alenda kufanya nini backstage
Alishindwa kulipia VIP? Mpaka akakae kule
Zengwe lipo hapa kwenye haya maneno."Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
The floor manager obliged. He went toward
Kiba and whispered the order to him. However
when the singer overstayed his welcome on
stage, the microphone was switched off.
Nyinyi ndo mmeikuza hii mada yeye hajasema directly kama kazimiwa mic na sallam bali alihoji alienda kufanya nini backstageNyie ndo mnampoteza alikiba kumuaminisha kwamba kila anapoteleza basi kuna mtu kamfanyia fitina wakati ni jambo la kawaida mwanadamu kuteleza na kuchulia kama changamoto ili kijiimarisha zaidi
Alikiba is perfect kama anavyoamini yeye na akikosea basi kuna watu wabawatupia lawana
Hebu basi use ur common sense!! Salam SK ni nani, mpaka a command watu wakate mic kwenye show Kama ile? Yeye anahusika nini? Zakuambiwa changanya na zako braza!! Hivi unajua mic inazimwaje?We ndo mjinga wa mwisho mnaodanganya na yule mr Misifa
Matusi ya nini tena Abdu Kiba..!?View attachment 416157
Hatutaki kiki sisi za kingese kama wachawi classic baby
Hata kama ni walinzi inamaana na wao hawamjui king kiba kweliEyooo isho_boy soma vizuri hapo. Ni mlinzi wa Chris sio Chris.
Basi tuseme ni dharau tu.Hata kama ni walinzi inamaana na wao hawamjui king kiba kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hu uzi hauwezi kupata comments nyingi....Maana zile team na hii lugha sidhani kama vinaendana
sasa mbona anamsingizia meneja wa mondi kumbe mwenyewe alijichelewesha kupanda kwa stage ndo maana wakamzimia mic walinzi wa Chriss“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage in less than two minutes or else we will physically get him out of the podium,” Chris Brown’s security was heard,
Mbona sijaona sehemu wamesema hamjui ali kiba? Wanasema walinzi walitamka maneno ya kumuondoa stajini sidhani kama tafsiri yake ni kuwa chris hamjui aliUnataka kunambia breezy hamjui king kiba wakati ashawahi kuimba na r.kelly