Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Naomba dikishonari... Sijaelewa aisee..
 
Tho mimi sio fan sana wa ali kiba but napenda kuona mziki wa tz ukienda mbele.Kama ni kweli crew ya chriss brown ilifikia kufanya hivyo basi nawalaumu organizers kwa kutoplan mda vizuri mpaka mda wa msanii unaisha kabla ya kumaliza performance yake.
 
abuu99kiba.jpeg

Hatutaki kiki sisi kama wachawi classic baby
 
"Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
The floor manager obliged. He went toward
Kiba and whispered the order to him. However
when the singer overstayed his welcome on
stage, the microphone was switched off.
Zengwe lipo hapa kwenye haya maneno.
 
Nyie ndo mnampoteza alikiba kumuaminisha kwamba kila anapoteleza basi kuna mtu kamfanyia fitina wakati ni jambo la kawaida mwanadamu kuteleza na kuchulia kama changamoto ili kijiimarisha zaidi
Alikiba is perfect kama anavyoamini yeye na akikosea basi kuna watu wabawatupia lawana
Nyinyi ndo mmeikuza hii mada yeye hajasema directly kama kazimiwa mic na sallam bali alihoji alienda kufanya nini backstage
 
kweli Watanzania vilaza hii comment nimeikuta jana kwenye page ya mzazi will kule FB wewe umefanya copy n paste na kujifanya kama yako nahisi hata hiyo lugha ya malkia inakupa shida mashabiki wa domo wengi
wanatumiwa kwa tigo 4G.
 
“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage in less than two minutes or else we will physically get him out of the podium,” Chris Brown’s security was heard,
sasa mbona anamsingizia meneja wa mondi kumbe mwenyewe alijichelewesha kupanda kwa stage ndo maana wakamzimia mic walinzi wa Chriss
 
Unataka kunambia breezy hamjui king kiba wakati ashawahi kuimba na r.kelly
Mbona sijaona sehemu wamesema hamjui ali kiba? Wanasema walinzi walitamka maneno ya kumuondoa stajini sidhani kama tafsiri yake ni kuwa chris hamjui ali
 
Back
Top Bottom