Swali alienda kufanya nn unauliza hapa? Si awaulize organizers? Yaani kukaa tu backstage ndo anaweza kuamlisha watu waharibu shoo kwa kuwazimia wanamuziki mic? Organizer gani atakubali kitu hicho kama kweli he mean bzness?Sio alizima swali alenda kufanya nini backstage
Alishindwa kulipia VIP? Mpaka akakae kule
Wakimjua ndo nn? Hata kama kuna kosa limefanyika wasiact? Kosa linaweza kuwa si la ali labda la planners ila mkianza kutupiana lawama hv mnatuchanganya wapenzi wa mziki...wengine hatuna timu ya mtu tunapenda mziki wenu.Hata kama ni walinzi inamaana na wao hawamjui king kiba kweli
Jamaa anadiriki kusema go to that man instead of go to that bongo super star? Kwamba hawajui Kiba ni super Star and King!!?????? Wamtake radhi le King. Yoooh“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
hizi ndo sifa mnazomjaza mwezenu akizisoma anajaa kichwa kumbe anajaza upepo!Jamaa anadiriki kusema go to that man instead of go to that bongo super star? Kwamba hawajui Kiba ni super Star and King!!?????? Wamtake radhi le King. Yoooh
Hu uzi hauwezi kupata comments nyingi....Maana zile team na hii lugha sidhani kama vinaendana
Team ubwabwaHu uzi hauwezi kupata comments nyingi....Maana zile team na hii lugha sidhani kama vinaendana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
HahahahaaaaHu uzi hauwezi kupata comments nyingi....Maana zile team na hii lugha sidhani kama vinaendana
That Man [emoji23]“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
huh...we unaongelea kitu kilichopita zaidi ya miaka 7 iliyopita...kwan aliimba nae pekee yake? au mbongo akiimba na mmarekani lazma chris amjue...we Vipi?Unataka kunambia breezy hamjui king kiba wakati ashawahi kuimba na r.kelly
namshangaa wakati mwenzake hamuongeleagi vbya...huyu kibakuli huyu acha tu watu wayakuzeKiba ndo kaileta ili watu wamuone diamond anamfanyia fitina na wamchukie
yeye ni nani kumpangia mtu pakukaa...pengne alipata ruksa huko backstage lasivyo kila mtu angekua anaenda backstageSio alizima swali alenda kufanya nini backstage
Alishindwa kulipia VIP? Mpaka akakae kule