Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Sio alizima swali alenda kufanya nini backstage
Alishindwa kulipia VIP? Mpaka akakae kule
Swali alienda kufanya nn unauliza hapa? Si awaulize organizers? Yaani kukaa tu backstage ndo anaweza kuamlisha watu waharibu shoo kwa kuwazimia wanamuziki mic? Organizer gani atakubali kitu hicho kama kweli he mean bzness?
 
Hii ni nzuri maan inatufanya tujifunze c kila kitu kikitokea anasingizia kua ni upande wa mpizani wk ndo kasababisha so its time for kiba to learn from that mistake cz quarreling with Team Diamond my not help him to attain his desire to become international artst.
 
Hata kama ni walinzi inamaana na wao hawamjui king kiba kweli
Wakimjua ndo nn? Hata kama kuna kosa limefanyika wasiact? Kosa linaweza kuwa si la ali labda la planners ila mkianza kutupiana lawama hv mnatuchanganya wapenzi wa mziki...wengine hatuna timu ya mtu tunapenda mziki wenu.
 
“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
Jamaa anadiriki kusema go to that man instead of go to that bongo super star? Kwamba hawajui Kiba ni super Star and King!!?????? Wamtake radhi le King. Yoooh
 
1476198119977.png
 
Hizi ni habari mbaya kwa team kiba, ila toka mwanzo Kiba akutaja direct kama Salaam ndiyo kazima ila sisi mashabiki ndo tulitafsiri ivyo baada ya kuona ile clip aliyokua anaongea na willy m. Tuva. Ila Kiba apunguze kujistukia mbona ni msanii mkubwa tu sijui kwanini hana confidence
 
Ishu za kawaida hizi. Michael Jackson aliwah kuziba pua na kapokelewa na rais wa nchi. So Kiba kuitwa 'that man' na hao walinzi mambo ya kawaida. Dogo aendelee kuperfom hits zake.

Kwanza iko hivi no publicity is bad publicity.

Management ya chris waliona staa wao kawekwa level karibubna Kiba wakati sio sawa. Kuzima mic ilikua kumfrustratw kiba na kuonyesha staa wao muhimu. Vigezo vya muda huenda ni kisingizio.

Kiba piga kazi muendelee kukuza muziki wa bongo. Hilo tukio litumir kama fursa utoboe zaidi. You rock
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti go tell that man to leave the stage in 2 minutes hehehe afu anamsingizia SK....Kibakuli bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Unataka kunambia breezy hamjui king kiba wakati ashawahi kuimba na r.kelly
huh...we unaongelea kitu kilichopita zaidi ya miaka 7 iliyopita...kwan aliimba nae pekee yake? au mbongo akiimba na mmarekani lazma chris amjue...we Vipi?
 
Back
Top Bottom