[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kunambia breezy hamjui king kiba wakati ashawahi kuimba na r.kelly
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaaIla sio poa kabisa...Alikiba alitolewa hata ajapiga ile "Yooooooooo"
Hahahaa we unaonaje ni poa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaa
cyo poa..kabsa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] bora wangempa sekunde ya kumaliza yooooooooHahahaa we unaonaje ni poa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "
Kweli yani atlist that man asingepanic [emoji23]cyo poa..kabsa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] bora wangempa sekunde ya kumaliza yoooooooo
Hapa ndio tunapoona tofauti kati ya mtu aliyezoea show za kimataifa na aloyezoea za kibongo.Kiba alichezea muda kiswahili kutokana na kukosa uzoefu.Nakumbuka hata Diamond alishawahi kuleta mtafaruku ujerumani kutokana na uzembe kama huu.Diamond amejifunza mengi so kama Kiba anajitambua atajifunza kutokana na makosa.Cha msingi aache kudeka na kuwa mtu wa kulalamika kama mtoto.Hii ni nzuri maan inatufanya tujifunze c kila kitu kikitokea anasingizia kua ni upande wa mpizani wk ndo kasababisha so its time for kiba to learn from that mistake cz quarreling with Team Diamond my not help him to attain his desire to become international artst.
lol!!! hahahhahahHu uzi hauwezi kupata comments nyingi....Maana zile team na hii lugha sidhani kama vinaendana
Acha ufukunyuku.Kwani ilikuwaga aje siku hiyo? Kuna mtu alishushwa jukwaani?
That man [emoji27]“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage
in less than two minutes or else we will
physically get him out of the podium,” Chris
Brown’s security was heard, by our resident
DJ, telling the floor manager.
Ila sio poa kabisa...Alikiba alitolewa hata ajapiga ile "Yooooooooo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli yani atlist that man asingepanic [emoji23]
Mmarekani hapo katumia ustaarabu vingenevyo tungesikia.... 'that dude is f***ng annoying...Go tell him to leave the f***ngThat man [emoji27]
Kwanza swali Sallam kenda backstage kufanya nini lilitakiwa kuhojiwa na mtu ambaye hayupo kwenye game lakini kuulizwa na mtu aliye kwenye game inashangaza kwa 100% kwa sababu ni jambo la kawaida sana! Juzi juzi tu hapa hata Diamond akiwa NY alikutana na Swizz Beatz huko huko backstage... sasa cjui kwanini Sallam kwenda backstage ionekane ni big issue!Swali alienda kufanya nn unauliza hapa? Si awaulize organizers? Yaani kukaa tu backstage ndo anaweza kuamlisha watu waharibu shoo kwa kuwazimia wanamuziki mic? Organizer gani atakubali kitu hicho kama kweli he mean bzness?
Nimemsikia Kiba live... amemuhusisha Sallam kwa 100% vinginevyo alikuwa na sababu ipi ya kuhusisha kuzimika kwa mic na kuonekana kwa Sallam backstage?!Hizi ni habari mbaya kwa team kiba, ila toka mwanzo Kiba akutaja direct kama Salaam ndiyo kazima ila sisi mashabiki ndo tulitafsiri ivyo baada ya kuona ile clip aliyokua anaongea na willy m. Tuva. Ila Kiba apunguze kujistukia mbona ni msanii mkubwa tu sijui kwanini hana confidence
Kiba alijifanya star kuliko wizkid et anza ww wizikid .. Wizkid akasema YAGA wakabishana mda wa kiba unaisha tu wizkid alivoona HVO akaenda kuimba SAA lake moja huko kiporo akamalizia kiba et live band thijui maandaliz meng wakat ana dk chache mwisho wa siku akaperform vidakika hvohizi ndo sifa mnazomjaza mwezenu akizisoma anajaa kichwa kumbe anajaza upepo!