Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Kwani ilikuwaga aje siku hiyo? Kuna mtu alishushwa jukwaani?
 
Hii ni nzuri maan inatufanya tujifunze c kila kitu kikitokea anasingizia kua ni upande wa mpizani wk ndo kasababisha so its time for kiba to learn from that mistake cz quarreling with Team Diamond my not help him to attain his desire to become international artst.
Hapa ndio tunapoona tofauti kati ya mtu aliyezoea show za kimataifa na aloyezoea za kibongo.Kiba alichezea muda kiswahili kutokana na kukosa uzoefu.Nakumbuka hata Diamond alishawahi kuleta mtafaruku ujerumani kutokana na uzembe kama huu.Diamond amejifunza mengi so kama Kiba anajitambua atajifunza kutokana na makosa.Cha msingi aache kudeka na kuwa mtu wa kulalamika kama mtoto.
 
That man [emoji27]
Mmarekani hapo katumia ustaarabu vingenevyo tungesikia.... 'that dude is f***ng annoying...Go tell him to leave the f***ng
stage
in less than two f***ng minutes or else we will
physically get him out of the f****ng podium, yu know what am saying?
 
Swali alienda kufanya nn unauliza hapa? Si awaulize organizers? Yaani kukaa tu backstage ndo anaweza kuamlisha watu waharibu shoo kwa kuwazimia wanamuziki mic? Organizer gani atakubali kitu hicho kama kweli he mean bzness?
Kwanza swali Sallam kenda backstage kufanya nini lilitakiwa kuhojiwa na mtu ambaye hayupo kwenye game lakini kuulizwa na mtu aliye kwenye game inashangaza kwa 100% kwa sababu ni jambo la kawaida sana! Juzi juzi tu hapa hata Diamond akiwa NY alikutana na Swizz Beatz huko huko backstage... sasa cjui kwanini Sallam kwenda backstage ionekane ni big issue!
 
Hizi ni habari mbaya kwa team kiba, ila toka mwanzo Kiba akutaja direct kama Salaam ndiyo kazima ila sisi mashabiki ndo tulitafsiri ivyo baada ya kuona ile clip aliyokua anaongea na willy m. Tuva. Ila Kiba apunguze kujistukia mbona ni msanii mkubwa tu sijui kwanini hana confidence
Nimemsikia Kiba live... amemuhusisha Sallam kwa 100% vinginevyo alikuwa na sababu ipi ya kuhusisha kuzimika kwa mic na kuonekana kwa Sallam backstage?!
 
Sallam ametoa ufafanuzi kwa nini alienda stage
Sallam akiongea kwenye citizen radio amesema shughuli zote za diamond upande wa west africa kuanzua shows na endorsement na mirabaha zinasimamiwa na manager wa Wizkid mr Sunday ,
huku shughuli za Wizkid East africa wao nao wana access nazo ndo maana yeye alikuwa na pass ya kuingia back stage through wizkid na wakati kiba anatumbuiza yeye hakuepo back stage alikuwa ameshaondoka stegin na uongozi wa Wizkid
 
hizi ndo sifa mnazomjaza mwezenu akizisoma anajaa kichwa kumbe anajaza upepo!
Kiba alijifanya star kuliko wizkid et anza ww wizikid .. Wizkid akasema YAGA wakabishana mda wa kiba unaisha tu wizkid alivoona HVO akaenda kuimba SAA lake moja huko kiporo akamalizia kiba et live band thijui maandaliz meng wakat ana dk chache mwisho wa siku akaperform vidakika hvo
 
Back
Top Bottom