Walinzi wa Hayati Magufuli walitisha sana

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Kila kitu alichofanya Magufuli ilikuwa unique aise, check hii miamba.

Screenshot_20230708-214716.jpg
 
Wengine wanacopy! Magu alikuwa unique kwa kila kitu! Mimi namchekaga mama akionekana amezungukwa na mamijamaa eti imeshika silahaa😆😅😁😁! Mama SSH ana issue gani mpaka alindwe? Ni mwepesi sana hata akitembea kwa mguu mtaani sana sana watu watakuwa wanamwangalia na kucheka
 
Magu yupo wapi now na kulindwa kote.., tumuache mzee apumzike na mama aendelee na kazi fullstp.
 
Unahisi aliwateua yeye? Hao alipewa tangu anateuliwa na CCM 2015
 
Wengine wanacopy! Magu alikuwa unique kwa kila kitu! Mimi namchekaga mama akionekana amezungukwa na mamijamaa eti imeshika silahaa[emoji38][emoji28][emoji16][emoji16]! Mama SSH ana issue gani mpaka alindwe? Ni mwepesi sana hata akitembea kwa mguu mtaani sana sana watu watakuwa wanamwangalia na kucheka
Kwa hiyo unajiona mjanja sana kutoa komenti kama hii. Dah wasukuma mnashida sana. Nenda chato kaabudu huyo mungu wenu.
 
Wengine wanacopy! Magu alikuwa unique kwa kila kitu! Mimi namchekaga mama akionekana amezungukwa na mamijamaa eti imeshika silahaa[emoji38][emoji28][emoji16][emoji16]! Mama SSH ana issue gani mpaka alindwe? Ni mwepesi sana hata akitembea kwa mguu mtaani sana sana watu watakuwa wanamwangalia na kucheka

Unatakiwa ujue hiko kitu si rais anapanga. Ni protocol za ikulu, na kila rais anaekuja lazima apewe team ya ulinzi.
Kufanya comparison ni utoto kwa mambo kama haya
 
Wengine wanacopy! Magu alikuwa unique kwa kila kitu! Mimi namchekaga mama akionekana amezungukwa na mamijamaa eti imeshika silahaa😆😅😁😁! Mama SSH ana issue gani mpaka alindwe? Ni mwepesi sana hata akitembea kwa mguu mtaani sana sana watu watakuwa wanamwangalia na kucheka
Hiyo ndio safi inabidi ukiwa kiongozi uweze kuingia kitaa bila wasiwasi. Ndio maana nchi kama Norway waziri mkuu anapiga pedal baiskeli anaingia kazini na hakuna anayemshangaa, Iran raisi mstaafu Ahmed Nejad anapanda usafiri wa umma karudi kuwa mwalimu wala hakuna anayemshangaa.
Kuzungukwa na wanajeshi kama vile nchi iko vitani sio jambo la kujivunia halafu baadaye tudai nchi ina amani.
 
Wengine wanacopy! Magu alikuwa unique kwa kila kitu! Mimi namchekaga mama akionekana amezungukwa na mamijamaa eti imeshika silahaa😆😅😁😁! Mama SSH ana issue gani mpaka alindwe? Ni mwepesi sana hata akitembea kwa mguu mtaani sana sana watu watakuwa wanamwangalia na kucheka
Hivi kumbe we ni mpumbavu kiasi hicho? Magu alikuwa ana nini? Kafiche huo upumbavu wako we zuzu
 
Wengine wanacopy! Magu alikuwa unique kwa kila kitu! Mimi namchekaga mama akionekana amezungukwa na mamijamaa eti imeshika silahaa😆😅😁😁! Mama SSH ana issue gani mpaka alindwe? Ni mwepesi sana hata akitembea kwa mguu mtaani sana sana watu watakuwa wanamwangalia na kucheka
Mamako ana issue gani hasa, angekuwa na issue angezaa kioja km wewe? Pumbavu huna adabu. Samia ni figure ya dunia yuko miongoni mwa wanawake 100 maarufu duniani. Jana alivyokuwa anapewa heshima zake na jeshi ulikuwa umelala? Samia ndiyo rais na amiri jeshi mkuu chuki zako za kipumbavu hizo hata umeze wembe hazitasaidia.
 
Back
Top Bottom