Hiyo ndio safi inabidi ukiwa kiongozi uweze kuingia kitaa bila wasiwasi. Ndio maana nchi kama Norway waziri mkuu anapiga pedal baiskeli anaingia kazini na hakuna anayemshangaa, Iran raisi mstaafu Ahmed Nejad anapanda usafiri wa umma karudi kuwa mwalimu wala hakuna anayemshangaa.
Kuzungukwa na wanajeshi kama vile nchi iko vitani sio jambo la kujivunia halafu baadaye tudai nchi ina amani.