A
Anonymous
Guest
Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa Wananchi hasa katika utaratibu wa uingiaji.
Walinzi wanaolinda geti la hospitali hiyo wamekuwa wakiwazuia kuingia ndani watu wengi hali inayosababisha kuchelewa kupata huduma za matibabu kwa wakati.
Unaweza ukafika ukajieleza vizuri kuwa unaenda kutibiwa ukaambiwa subiri pembeni, hapo utaganda sana wale jamaa wa Suma wanajiamulia mambo kama vile wao wanaimiliki hiyo taasisi wakati ni ya umma.