Walinzi wa Rais wa Kenya walivyokufa kirahisi

Walinzi wa Rais wa Kenya walivyokufa kirahisi

Alaa!kumbe ndio maana wanaua wasomali wa watu hovyo?sikujua hilo
Rais wao mwenyewe amesema hiyo ajali ni "unnenecessary"
Ni unnecessary kwa sababu kwa muda huo hilo lorry la mafuta halikutakiwa kutumia hiyo barabara,so kuna uzembe wa traffic police hapo.
Ingekuwa bongo mpaka saa hii sio ajabu angekuwa ametumbuliwa mtu.
 
Sasa wapi hapo nimesema kwamba askari wetu wa RECCE miili yao ina uwezo wa kuvumilia moto wa kemikali.
angalia huo mchoro,ulivyohadithia uwezo wa fulana zo kuwa hazipenyi moto
 
Utawadanganya wakamba wenzio
Mbulula kama hawa eti ni walinzi wa Rais wa kenya
Aliemwambia ukitoa mimacho ndio utamtisha gaidi ni nani

ep-150729472-jpg-maxw-960-jpg.356669
huyo ni security ya kawaida, wale wa kusongesha songesha watu .... hana bunduki wala nini, sa sioni lolote la makosa hapo analofanya, amepose kupiga picha ya ukumbusho...

Recce ni hao waliovaa masuti hapo kando... Wale recce wengine hio siku walikua na mabunduki na wamejihami kupindukia.... Wakati Obama alikuja TZ, makomando wenu walikua hawaaminiki hadi walikua hawaruhusiwi kusongea hata karibu na Obama...hahahaa..full mijungu

Hebu sasa tuambie vipi jinsi hawa wanajeshi wenu alivyofariki kwa kugonga kijumba cha tatope, tena huko ndani ndani kwa barabara ya mchanga, hakuna gari lingine, hakuna mlipuko wowote, ni gari la kijeshi APC linagonga nyumba ya matope na wanajeshi watatu wanafariki!!!!! yani hata kupeleka gari wakiwa pekeyao kwa barabara bado wanafariki, je ukiwaeka kwa barabara ya lami ambapo kuna magari mengi yanapitana si hii itakua disaster!!
PICHA NA TAARIFA:WANAJESHI WA 3 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA NA RAIA 1 WAFA KATIKA AJALI YA KIFARU MTWARA | H@ki Ngowi
 
angalia huo mchoro,ulivyohadithia uwezo wa fulana zo kuwa hazipenyi moto

Fulana inapunguza makali ya risasi, lakni moto wa kemikali ni kama bomu. Huo moto uliuguza kila kitu maana haukuwa wa kawaida.
Tatizo nyie wana Lumumba mkishaaminishwa kama nyumbu hamtumii akili zenu za ziada. Humu hata Watanzania wenzio wamekukatalia na kujaribu kukusaidia japo utumie ubongo wako kufikiria lakini umeng'eng'ania kama chizi.
Naona hata mimi sitoweza kukusaidia ikiwa Watanzania wenzio wamekushindwa, kwaheri.
 
Sasa wale askari na midege somalia inafanya nini mpaka leo kama sio kuuwa watu bila hatia
Wakiuawa wasomali mnachekelea humu na thread kibao "KDF yaua wasomali 100!",wakifa super humans mnajitetea mauti hayana ukomandoo
Nakuuliza je Uhuru angekuwepo hapo pangetosha?
Ndio maana Ruto kuna siku alirudi toka airport bila ya walinzi.Kenya hovyo kabisa
Kinachokusumbua kichwa ni udin tu wala sio kingine
 
Ingekuwa ni bongo, hadi sasa moto ungekua wateketea maana wazima moto wangekua hawajawasili... Mlichukua siku ngapi vile kusaidia manusuru wa mtetemeko wa ardhi?
 
A truck carrying Chemicals lost control crushed into 12 cars on a traffic jam and exploded into a ball of fire Lakini ongeeni tu mtapata chenu nyinyi!!
 
Trying to score cheap points upon a tragedy is pure evil ...i just cant
a person who derives pleasure in others' demise is nothing but a pure sadist. There is patriotism for one's country and there is being a pure psycho. I'm certain based on the guy's thread we know where exactly he falls under. As a point of clarity, I'm proudly Tanzanian but I will never rejoice on anybody's demise in the name of patriotism.
 
huyo ni security ya kawaida, wale wa kusongesha songesha watu .... hana bunduki wala nini, sa sioni lolote la makosa hapo analofanya, amepose kupiga picha ya ukumbusho...

Recce ni hao waliovaa masuti hapo kando... Wale recce wengine hio siku walikua na mabunduki na wamejihami kupindukia.... Wakati Obama alikuja TZ, makomando wenu walikua hawaaminiki hadi walikua hawaruhusiwi kusongea hata karibu na Obama...hahahaa..full mijungu

Hebu sasa tuambie vipi jinsi hawa wanajeshi wenu alivyofariki kwa kugonga kijumba cha tatope, tena huko ndani ndani kwa barabara ya mchanga, hakuna gari lingine, hakuna mlipuko wowote, ni gari la kijeshi APC linagonga nyumba ya matope na wanajeshi watatu wanafariki!!!!! yani hata kupeleka gari wakiwa pekeyao kwa barabara bado wanafariki, je ukiwaeka kwa barabara ya lami ambapo kuna magari mengi yanapitana si hii itakua disaster!!
PICHA NA TAARIFA:WANAJESHI WA 3 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA NA RAIA 1 WAFA KATIKA AJALI YA KIFARU MTWARA | H@ki Ngowi
Tofautisha kati ya mwanajeshi wa kawaida na RECCE.Fanyeni uchunguzi msitetee uoza
 
A truck carrying Chemicals lost control crushed into 12 cars on a traffic jam and exploded into a ball of fire Lakini ongeeni tu mtapata chenu nyinyi!!
Kenya mnajitapa ndio no1. katika logistics.
Procedure za kubeba kemikali ni tofauti na kubeba takataka.Inakuaje gari imebeba kemikali haina escort,hakuna gari ya kushughulika na explosive nyuma yake?Huo ni uzembe wenu msisingizie ajali haina kinga
 
Kama walinzi wa Rais wanaweza kufa kwa ajali,vipi maisha ya Rais akiwa safarini.
Tena genge hili la wanamgambo wa RECCE,tunaaminishwa wana uwezo wa hali ya juu sana lakini kumbe wameonesha kuwa ni wepesi kabisa.Inawezekana wanatumia usafir wa Ford Cortina za 1970.

Ndio maana special forces za Tanzania tukiwaonesha tunapasua matofali kwa vichwa na kulala juu ya misumari sio mbwembwe tunamaanisha walinzi wetu walivyotayari kukabiliana na hali ngumu.Mlinzi wa Rais unakufa ndani ya V8,una BP au hiyo gari sio bullet proof?

4 members of President Uhuru’s security team died in a road crash on Tuesday along the Isiolo-Marsabit highway, while one is in hospital with injuries.

The four were part of the elite GSU Recce Company that protects the President. According to reports, they were part of an advance team headed to Lonyangalani to carry out security surveillance and inspection ahead of Uhuru’s visit today to commission the wind power project.

The Toyota Landcruiser they were travelling in burst its right tyre, causing the vehicle to roll several times. They died on the spot.

Just last week, a vehicle in Uhuru’s motorcade hit a 70 year old man in Mumias.

- See more at: 4 Uhuru Recce Squad Bodyguards Die in a Road Accident
Wengine 11 hawa hapa

President Uhuru Kenyatta has cancelled his tour to Narok County following the Saturday night accident that claimed the lives of at least 33 people along the busy Naivasha -Nakuru highway.

In a statement issued on Sunday afternoon, State House indicated that President Kenyatta had postponed the visit scheduled for Tuesday, 13 December 2016, so he can visit the families of the 11 General Service Unit (GSU) officers who perished in the accident.

“The President’s visit to Narok scheduled for Tuesday, 13 December 2016, has been postponed so he can visit with the families of the 11 officers from the VIP protection team of the General Service Unit (GSU) killed in a tragic road accident on the Naivasha-Nakuru Road last night,” State House spokesman Manoah Esipisu stated.

Mr Esipisu earlier on confirmed that the 11 GSU officers provide VIP protection, including to His Excellency the President.

The officers from the ‘G’ Company were travelling in a Toyota Land Cruiser registration number GK B 961G back to Nairobi after the presidential coverage in Bomet.

Meanwhile, President Kenyatta expressed his condolences to the families of all those affected by the Saturday evening accident that occured after a Uganda-bound lorry ferrying inflammable material lost control, rammed into other vehicles and exploded.

“President Uhuru Kenyatta wishes to express his condolences to the families of all the bereaved, including the young families of the gallant officers from the GSU. He also wishes all the injured quick recovery,” a statement issued by State House spokesman Manoah Esipisu read in part.

The Head of State termed the accident “unnecessary” directing all agencies involved to expeditiously investigate the incident.

“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,” the statement read.

ajari barabarani tanzania
AJALI+YA+NYOTA+STARS2.jpg



AAFA3AE4-B484-4747-BDFB-107A379C6BC8_w987_r1_s.jpg


3456949_orig.jpg

ajali+4.jpg

Ajali ya Ndege ya Tanzanair Lake Manyara

ajali-1-1.jpg




images

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika
 
Back
Top Bottom