Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Ni unnecessary kwa sababu kwa muda huo hilo lorry la mafuta halikutakiwa kutumia hiyo barabara,so kuna uzembe wa traffic police hapo.Alaa!kumbe ndio maana wanaua wasomali wa watu hovyo?sikujua hilo
Rais wao mwenyewe amesema hiyo ajali ni "unnenecessary"
Gonga hapa uone ulivyoshiriki kuwapamba wanamgambo wako Zilipigwaje? walinzi wa ikulu ya Kenya vs american Secret Serice
najaribu tu kucompareHahahahaha umenichekesha sana. Kwann umesema hivyo hahahahaha
Hio ipo sana tu ndugu. Malavi davi ni habari nyingineunakuta na huyo analalamikia mapenzi!!
angalia huo mchoro,ulivyohadithia uwezo wa fulana zo kuwa hazipenyi motoSasa wapi hapo nimesema kwamba askari wetu wa RECCE miili yao ina uwezo wa kuvumilia moto wa kemikali.
huyo ni security ya kawaida, wale wa kusongesha songesha watu .... hana bunduki wala nini, sa sioni lolote la makosa hapo analofanya, amepose kupiga picha ya ukumbusho...Utawadanganya wakamba wenzio
Mbulula kama hawa eti ni walinzi wa Rais wa kenya
Aliemwambia ukitoa mimacho ndio utamtisha gaidi ni nani
angalia huo mchoro,ulivyohadithia uwezo wa fulana zo kuwa hazipenyi moto
Kinachokusumbua kichwa ni udin tu wala sio kingineSasa wale askari na midege somalia inafanya nini mpaka leo kama sio kuuwa watu bila hatia
Wakiuawa wasomali mnachekelea humu na thread kibao "KDF yaua wasomali 100!",wakifa super humans mnajitetea mauti hayana ukomandoo
Nakuuliza je Uhuru angekuwepo hapo pangetosha?
Ndio maana Ruto kuna siku alirudi toka airport bila ya walinzi.Kenya hovyo kabisa
Preach manKwani ukiwa mlinzi wa Rais basi maana yake hauna roho ? Au mkataba wa kifo unakuwa umesogezwa mpaka uzeeni ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ile kitu hainaga baunsa manunakuta na huyo analalamikia mapenzi!!
huku ndipo tulipofikia mpaka kuringishiana idadi za mauti na majeruhi. Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Wakenya legelege sana makomando wa tz walishambuliwa na mabomu DRC wakafa2 tu wengine wakatoka salama
a person who derives pleasure in others' demise is nothing but a pure sadist. There is patriotism for one's country and there is being a pure psycho. I'm certain based on the guy's thread we know where exactly he falls under. As a point of clarity, I'm proudly Tanzanian but I will never rejoice on anybody's demise in the name of patriotism.Trying to score cheap points upon a tragedy is pure evil ...i just cant
Tofautisha kati ya mwanajeshi wa kawaida na RECCE.Fanyeni uchunguzi msitetee uozahuyo ni security ya kawaida, wale wa kusongesha songesha watu .... hana bunduki wala nini, sa sioni lolote la makosa hapo analofanya, amepose kupiga picha ya ukumbusho...
Recce ni hao waliovaa masuti hapo kando... Wale recce wengine hio siku walikua na mabunduki na wamejihami kupindukia.... Wakati Obama alikuja TZ, makomando wenu walikua hawaaminiki hadi walikua hawaruhusiwi kusongea hata karibu na Obama...hahahaa..full mijungu
Hebu sasa tuambie vipi jinsi hawa wanajeshi wenu alivyofariki kwa kugonga kijumba cha tatope, tena huko ndani ndani kwa barabara ya mchanga, hakuna gari lingine, hakuna mlipuko wowote, ni gari la kijeshi APC linagonga nyumba ya matope na wanajeshi watatu wanafariki!!!!! yani hata kupeleka gari wakiwa pekeyao kwa barabara bado wanafariki, je ukiwaeka kwa barabara ya lami ambapo kuna magari mengi yanapitana si hii itakua disaster!!
PICHA NA TAARIFA:WANAJESHI WA 3 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA NA RAIA 1 WAFA KATIKA AJALI YA KIFARU MTWARA | H@ki Ngowi
Mkuu kufa kwa makomandoo wa Kenya kunahusiani vipi na udiniKinachokusumbua kichwa ni udin tu wala sio kingine
Kenya mnajitapa ndio no1. katika logistics.A truck carrying Chemicals lost control crushed into 12 cars on a traffic jam and exploded into a ball of fire Lakini ongeeni tu mtapata chenu nyinyi!!
Kama walinzi wa Rais wanaweza kufa kwa ajali,vipi maisha ya Rais akiwa safarini.
Tena genge hili la wanamgambo wa RECCE,tunaaminishwa wana uwezo wa hali ya juu sana lakini kumbe wameonesha kuwa ni wepesi kabisa.Inawezekana wanatumia usafir wa Ford Cortina za 1970.
Ndio maana special forces za Tanzania tukiwaonesha tunapasua matofali kwa vichwa na kulala juu ya misumari sio mbwembwe tunamaanisha walinzi wetu walivyotayari kukabiliana na hali ngumu.Mlinzi wa Rais unakufa ndani ya V8,una BP au hiyo gari sio bullet proof?
4 members of President Uhuru’s security team died in a road crash on Tuesday along the Isiolo-Marsabit highway, while one is in hospital with injuries.
The four were part of the elite GSU Recce Company that protects the President. According to reports, they were part of an advance team headed to Lonyangalani to carry out security surveillance and inspection ahead of Uhuru’s visit today to commission the wind power project.
The Toyota Landcruiser they were travelling in burst its right tyre, causing the vehicle to roll several times. They died on the spot.
Just last week, a vehicle in Uhuru’s motorcade hit a 70 year old man in Mumias.
- See more at: 4 Uhuru Recce Squad Bodyguards Die in a Road Accident
Wengine 11 hawa hapa
President Uhuru Kenyatta has cancelled his tour to Narok County following the Saturday night accident that claimed the lives of at least 33 people along the busy Naivasha -Nakuru highway.
In a statement issued on Sunday afternoon, State House indicated that President Kenyatta had postponed the visit scheduled for Tuesday, 13 December 2016, so he can visit the families of the 11 General Service Unit (GSU) officers who perished in the accident.
“The President’s visit to Narok scheduled for Tuesday, 13 December 2016, has been postponed so he can visit with the families of the 11 officers from the VIP protection team of the General Service Unit (GSU) killed in a tragic road accident on the Naivasha-Nakuru Road last night,” State House spokesman Manoah Esipisu stated.
Mr Esipisu earlier on confirmed that the 11 GSU officers provide VIP protection, including to His Excellency the President.
The officers from the ‘G’ Company were travelling in a Toyota Land Cruiser registration number GK B 961G back to Nairobi after the presidential coverage in Bomet.
Meanwhile, President Kenyatta expressed his condolences to the families of all those affected by the Saturday evening accident that occured after a Uganda-bound lorry ferrying inflammable material lost control, rammed into other vehicles and exploded.
“President Uhuru Kenyatta wishes to express his condolences to the families of all the bereaved, including the young families of the gallant officers from the GSU. He also wishes all the injured quick recovery,” a statement issued by State House spokesman Manoah Esipisu read in part.
The Head of State termed the accident “unnecessary” directing all agencies involved to expeditiously investigate the incident.
“The President notes that the tanker responsible for the deaths should not have been on that particular road at that hour, and he expects the agencies responsible for enforcing traffic regulation to fully investigate this tragic breach,” the statement read.