YEYE ndio Mwanaume 🐼Safi tu, kwanini kwenye kundi la marais zaidi ya kumi yeye ndie aje kavaa kijeshi na Pistol kiunoni, fresh tu asuse hivyo hivyo
Umekatikiwa na king'amuzi?Angalia tibisiii wani.
Hoteli kufaidi si ndio mojawapo ya sisi kufaidi. Hizo hoteli zina watumishi, zinanunua chakula, zinalipa kodi.Ujio wao humu kwetu una faida kweli au hotel zinafaidi tu
Hotel kufaidi Ndo faida zenyewe hizoUjio wao humu kwetu una faida kweli au hotel zinafaidi tu
Hako kavideo utakuchukua ukiwa wapi si kutafuta kifo mkuuHakuna kavideo wakuu
Maelekezo ya mabeberu, TZ(CCM) haiwezi kwenda kinyume na matakwa ya mabeberu.Kwa taarifa tu,hicho kisa ni miongoni mwa kilichomfanya Rais wa Burkina Faso asije Tanzania.wanausalama wa Tanzania walitoa masharti lukuki ikiwemo eti jamaa aje akiwa kavaa kiraia...
TZ imepigwa biti na donors, TZ ni chawa wa mabeberu.Safi tu, kwanini kwenye kundi la marais zaidi ya kumi yeye ndie aje kavaa kijeshi na Pistol kiunoni, fresh tu asuse hivyo hivyo
Habari tuzipendazo kusikiaMsafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
Kufanga Barbara mji mzima ni faida piaHotel kufaidi Ndo faida zenyewe hizo
Acha uongo ni kwamba hakuja tu kwasababu zake ikiwemo tu kwamba kaona ni kikao cha kipuuzi tuKwa taarifa tu,hicho kisa ni miongoni mwa kilichomfanya Rais wa Burkina Faso asije Tanzania.wanausalama wa Tanzania walitoa masharti lukuki ikiwemo eti jamaa aje akiwa kavaa kiraia...
Hata South Africa wakati wa Mkutano wa Brics iliwahi tokeaIla hii nchi inadhauliwa sana aisee....🤨
Kwa nini asitokee kibabe kama alivyofanya Ghana siku hiyo hiyo ya uapisho?Kwa taarifa tu,hicho kisa ni miongoni mwa kilichomfanya Rais wa Burkina Faso asije Tanzania.wanausalama wa Tanzania walitoa masharti lukuki ikiwemo eti jamaa aje akiwa kavaa kiraia...
Lingekuwa Cha kipuuzi angekuwa amepeleka umeme Vijijini kwake,ameondoa waasi,njaa zimeisha na umaskini mwingine uliojaa huko BurkinabeAcha uongo ni kwamba hakuja tu kwasababu zake ikiwemo tu kwamba kaona ni kikao cha kipuuzi tu