Unahesabiwa haki kwa Imani au matendo?huko kwenye kuokokaNilikuwa mganga na mchawi ila sasa nimeacha na kuokoka💪🏿
Chui mdogo, si unaona umakini wa chui kuanzia kuwinda mpaka kujificha, mule mule.Ila ni mnyama mmoja makini sana
Upo sahihi, kuna kabila fulani hapa TZ, wanamtumia sana chui kwenye mambo yao.Ni jamii moja
Paka kulia kama mtoto mchanga usiku ni tabia ya kawaida ya kibayolojia inayotokana na sababu kadhaa za kiasili, na mara nyingi haina uhusiano wowote na imani za kishirikina au uchawi kama inavyodhaniwa na wengi.Na paka kulia kama mtoto mchanga usiku maana yake nini? Hua nawasikia nje ya nyumba yangu
Ooh sawa sawa mkuuWana silika za hisia sawa tu na paka wa kufugwa
Kweli kabisa mkuu mshauna, paka ukiwa na upendo, unapatia chakula mara kwa mara, anakufuata, ni wanyama wenye upendo kweli, asante KWA somo ziti sanaOoh sawa sawa mkuu