...kweli Bongo ni 'kisiwa' cha amani, sijui ingekuwaje TSS nao wangekuwa wanatembea na mitutu kama hii;...India hawa, 'kibegi' mmekiona???...😀
LOL!, LOL!, ...Kama unaweza kuwa personal trainer wangu. Lakini unalionaje hilo la bodyguard mwanamke kwa then President...
Hilo bomba sana....nianzie mimi kufanya mazoezi....
...kweli Bongo ni 'kisiwa' cha amani, sijui ingekuwaje TSS nao wangekuwa wanatembea na mitutu kama hii;...India hawa, 'kibegi' mmekiona???...😀
Ogah,
..hata mimi nimeshangaa mlinzi wa Mwalimu kufunga vifungo vya koti lake.
..hivi mara nyingine hawa si walikuwa hata wakimuiga kuvaa kaunda suti?!
NB:
..mara ya mwisho nilimuona jamaa akimlinda Mzee Laurent Kabila wakati anaapishwa kuwa Raisi wa DRC.
Duh,Siku January Makamba akiwa raisi na yeye itakuwa hivi hivi...