Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

...kweli Bongo ni 'kisiwa' cha amani, sijui ingekuwaje TSS nao wangekuwa wanatembea na mitutu kama hii;...India hawa, 'kibegi' mmekiona???...😀

Yaani mbona kazi!!

That's the black bag I was talking about secret services carry. I wonder what's inside.
 
LOL!, LOL!, ...Kama unaweza kuwa personal trainer wangu. Lakini unalionaje hilo la bodyguard mwanamke kwa then President...

Hilo bomba sana....nianzie mimi kufanya mazoezi....
 
Hilo bomba sana....nianzie mimi kufanya mazoezi....

Mh!....how about convicing the now speech writer of president afanye personal training as a part time job for now ili akifikia kuwa president niwe nimeisha mzoea??!!! (lol)
 
...kweli Bongo ni 'kisiwa' cha amani, sijui ingekuwaje TSS nao wangekuwa wanatembea na mitutu kama hii;...India hawa, 'kibegi' mmekiona???...😀


Hawa wahindi na mikaunda suti yao wamekaa kama walinzi wa Tanzania.
 
Ogah,

..hata mimi nimeshangaa mlinzi wa Mwalimu kufunga vifungo vya koti lake.

..hivi mara nyingine hawa si walikuwa hata wakimuiga kuvaa kaunda suti?!

NB:

..mara ya mwisho nilimuona jamaa akimlinda Mzee Laurent Kabila wakati anaapishwa kuwa Raisi wa DRC.


Huyo jamaa sio yule kazi yake ni kumuondoa eneo la tukio?
 
Jamaa naona wana lapel pins.


i709_17ahah.jpg
 
uraisi wa Tanzania?
ataiweza kweli fitna ya siasa ya bongo?
 
Shoot them if you can...


5590d1250256342-walinzi-wa-viongozi-mataifa-mbalimbali-reconstructed-shoot-them-if-you-can.jpg
🙂
 

Attachments

  • SHOOT THEM IF YOU CAN.jpg
    SHOOT THEM IF YOU CAN.jpg
    75.6 KB · Views: 189
kazi kwelikweli
 

Attachments

  • 1aad4b1e.jpg
    1aad4b1e.jpg
    31.6 KB · Views: 145
  • 3bb10d1e.jpg
    3bb10d1e.jpg
    24.7 KB · Views: 128
  • 4d1a3f41.jpg
    4d1a3f41.jpg
    23.4 KB · Views: 119
  • 4d79be14.jpg
    4d79be14.jpg
    27.4 KB · Views: 119
  • 9_secret_service.jpg
    9_secret_service.jpg
    52.5 KB · Views: 124
tunaomba mwenye picha za hawa walinzi wa BLACKWATER WORLDWIDE abambike picha zao humu
 
where are you...

5598d1250257610-walinzi-wa-viongozi-mataifa-mbalimbali-reconstructed-where-are-you.jpg
 

Attachments

  • where are you.jpg
    where are you.jpg
    40.1 KB · Views: 207
ukimcheki vizuri huyo jamaa wa kulia utaona kisu pembeni ya saa, huyu ni mtaalamu wa kurusha visu katika squad
 
z1117948g9zj.jpg


Polish president and his bodyguard. They look same to confuse terrorists
 
z3202831G.jpg

In other countries bodyguards are using guns, in Poland they use umbrellas.
 
Back
Top Bottom