Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 702
wapi kamanda wangu icadon..., gt, wapi ww? Nimeisakanyua hii kitu hadi nimeipata..., kuna kijambo kimetokea kwny the dark world of espionage..., mmekiskia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kutopatikana kwa ile thread nimegundua kuwa kwenye external server yangu niliserve ile thread hivyo nimeona si vibaya kuirudisha tena
Sasa tunauomba msiifte hii thread tena
By the way bila mwenzetu ICADON hiii thread isingekwepo so props to ICADON
this is former Polish Prez's detail
![]()
the pope
![]()



Ogah, nipo mkuu, kweli mengi yametokea, kuna ile spy ring ya cia ilokua ndani ya vevak(vezarat e ettelat va amniyat e keshvar) imekamatwa yote, cia wako dissapointed sana, maana ndo ilikua primary source ya intel ndani ya iran, na kumbuka iliwachukua muda sana cia kuitengeneza hii spy ring,,
Ogah, nipo mkuu, kweli mengi yametokea, kuna ile spy ring ya cia ilokua ndani ya vevak(vezarat e ettelat va amniyat e keshvar) imekamatwa yote, cia wako dissapointed sana, maana ndo ilikua primary source ya intel ndani ya iran, na kumbuka iliwachukua muda sana cia kuitengeneza hii spy ring,,
Then kuna spy ring ya mrusi(SVR and GRU) imekamatwa marekani,, ilikua ni syndicate ya watu kumi, walikua wanafanya "dead drops" za kijinga sana
Nadhani as days go by, espionage is becoming very risky, one double agent can expose an entire spy ring and jeopordize the whole mission
Hivi kuna mtu ana picha ya walter? Yule bodyguard maarufu duniani alekua anamlinda winston churchill, aiweke tafadhali, one of the best bodyguards ever
Hapa kuna matatizo on all points
RAIS WETU hana:
1) Ulinzi wa kutosha kwenye point of attack kwa sababu ya uwazi wa uwanja wa Taifa
2) Kwa jinsi mapikipiki yalivyojazana pale sidhani kama kuna uwezekano wa ku evade assailants and escape as soon as it should be
3) Kwa jinsi jamaa wanavyoninginia kwenye hilo X3 its quite obvious kuwa counter measures zao si madhubuti
Hapa kuna taizo kubwa sana...kwa sababu wote tunajua kazi ya pikipiki ni kuondoa traffic njiani sasa Taifa kulikuwa na traffiic ganimpaka kuwepo na piki piki zote hizo?
Pili for obvious reasons hilo gari alilokwemo ras linaonekana kwanza lenyewe ni threat in terms of security kwa sababu ikitokea incident how fast can they protect ****** bila kumdhuru?
Tatu mbona hatuoni Comm car kama hili hapo chini ikifuata kwa nyuma?
![]()
I hope hawa waheshimiwa wanasoma comments humu na watafanya review kila baada ya shughuli kuona wapi wamebugi step
Najua wanadai kuwa ****** mbishi lakini when it comes to his protection then sidhani kama atakuwa na ubabe wa kuchagua zaidi ya kuwasikiliza hawa jamaa