Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Ahmedinejad na msafara wake, naona wako juu juu kweli sijui ndo wanamuogopa muisrael?



 

Attachments

  • iran1.jpg
    34.7 KB · Views: 1,282
Huyo yuko wapi mkuu? Mlinzi ni Mungu tuuu! Yeye anasema asipo-ulinda mji huu waulindao wafanyakazi bure. WHY? Kwa kuwa wote wanakufa...isipokuwa Mungu peke yake ndiye wa milele!!!
Woote hao hawamfikii huyu na brigedi zake


 
Nifahamisheni jinsi ya kuweka picha ninazo nyingi sana za mitt romney na obama

 

Attachments

  • pic 1.jpg
    103.7 KB · Views: 1,049
Huyu Ahmadenijad kelele zote anatumia magari ya wamarekani?

Hana lolote, halafu nilikua sijashtukia hata mimi mbwembwe nyingi kumbe anatumia Chev za wamarekani! Naanza kumshushia heshima huyu


Hahaaa I just had to put this, nimeikuta kuna sehemu kumbe walikua wanamjadili tayari! Anajidai maneno meengi eti US and Israel(Zion anavyowaita) ni Satan agents but yet anajilinda kutumia Uzi gun ya Colonel S.


Hawa wanaitwa The Cobras wanatokea wing moja ya Military Police huko Serbia! Sitaki kuamini hawa ndo walikua wanamlinda Milosevic






View attachment 71688
 

Attachments

  • 610xrf.jpg
    48 KB · Views: 870
  • Uzi.jpg
    25.8 KB · Views: 879


Hamna kitu picha zinakuwa ndogo kama hivi nataka ziwe na size kubwa
 
Huyo ni roomney sasa ninazo kama 100 nashindwa kupload size kubwa
 
gobore..., sio tu uzi pia picha ya juu pale mlinzi wake ana m4,,, silaha ya kimarekani....,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…