Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

ss8w0ohn.jpg
 
gobore..., sio tu uzi pia picha ya juu pale mlinzi wake ana m4,,, silaha ya kimarekani....,

Kweli mkuu nimeiona na hiyo Colt Carbine M4! Dah yani nimemshusha nyota kweli kweli aliyebaki ni Kim Un tu wa North Korea yule ndo bado nazihunt picha zake nione anajilinda vipi.
 
Du asanteni sana kwa kutujuza lakini Wananchi wakichukia hao Bodyguard hawafui Dafu hebu muulizeni Hussein Mubarak, Gaddaff, Assad,nk
 
Hawa jamaa wa SS CST(Counter Sniper Team) ndio walikua wa kwanza kuingia mapemaa.
attachment.php


Haya Mchaga, Moshe Dayan tuchangamshe mjadala hapa. Kwanini hao jamaa wamevaa kitambaa cha orange kwenye bega? Chemsha bongo hiyo






attachment.php



Baada ya kuapishwa POTUS na FLOTUS wakatembea kidogo....
BTW Huyu babu si nilisikia amestaafu?
attachment.php


Walinzi wao wanawafuata kwa nyuma....

attachment.php


Msafara wenyewe Pennyslvania Ave

attachment.php
 

Attachments

  • Orange.jpg
    Orange.jpg
    70.6 KB · Views: 1,418
  • Snipers.jpeg
    Snipers.jpeg
    34.2 KB · Views: 1,464
  • kibabu.jpeg
    kibabu.jpeg
    47.4 KB · Views: 1,449
  • Nyuma ya Obama.jpeg
    Nyuma ya Obama.jpeg
    22.1 KB · Views: 1,471
  • Msafara.jpeg
    Msafara.jpeg
    48.5 KB · Views: 1,445
Gobore
asante kwa pics, lakini huwez zikuza kidogo aisee....then jamaa nadhan wamevaa vitambaa ii kuweza kutambuana, wasije tunguana, mind you wanakaa mbali na mbali, wasije wakakosea wakadhan n adui kumbe n wao kwa wao..
 
Back
Top Bottom