Gobore
asante kwa pics, lakini huwez zikuza kidogo aisee....then jamaa nadhan wamevaa vitambaa ii kuweza kutambuana, wasije tunguana, mind you wanakaa mbali na mbali, wasije wakakosea wakadhan n adui kumbe n wao kwa wao..
Huyo yuko wapi mkuu? Mlinzi ni Mungu tuuu! Yeye anasema asipo-ulinda mji huu waulindao wafanyakazi bure. WHY? Kwa kuwa wote wanakufa...isipokuwa Mungu peke yake ndiye wa milele!!!
hvi yukwapi sikuhizi
Hawa ni wa bongo si mchezo
Hizo herufi za license plate zina maana gani?
Iran
...mnh, hawa 'wapambe' wa viongozi wa Iran na Israel mbona shoving and pushing zimekuwa nyingi hivyo? kwetu atayejitia mfanyia Luteni kanali mstaafu hayo ajue kibarua chake kinaota majani !
Hizo herufi za license plate zina maana gani?
Moja ni cover ya mwingine,E = Escot 1 huwa zipo mbili kwenye msafara
University of Nevada
When Mr. Obama marched in Columbia, S.C., on Martin Luther King's birthday, he was surrounded by Secret Service agents and followed by a van that could be used to whisk him away in the event of an emergency.
At a large rally at the University of Denver, Mr. Obama was surrounded by a security detail ready to react to a threat from the crowd as he shook hands.
Mr. Obama, trailed by his security detail, took the stage in an overflow room before the rally at the University of Denver.
This agent was watching the exit and keeping an escape route clear as he waited for Mr. Obama to finish at a rally in St. Louis.
A Secret Service agent watched Mr. Obama's back -- literally.
Hapa palikua pazuri lakini naona wameshapafanyia makaratee!