Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed


USSS starting salary ni GS-10 with benefits so unaangalia kuanzia $70K-90K kwa mwaka. Baiskeli ni za walinzi wakati Bush akiendesha baiskeli yake
 
Iran



...mnh, hawa 'wapambe' wa viongozi wa Iran na Israel mbona shoving and pushing zimekuwa nyingi hivyo? kwetu atayejitia mfanyia Luteni kanali mstaafu hayo ajue kibarua chake kinaota majani !

Hizo picha za Israel ilikuwa baada ya polisi kujipiga risasi ya kichwa uwanja wa ndege wakati wanamuaga Sarkozy...hii ya Ahmadenijad ilikuwa ni kwenye maadhimisho ya sikuku walikuwa wanamzuia asidondoke.
 
Some Pics za USSS Command Center wakati wa Convention(Democrat)
*FPOTUS=Former President of United States
*FFLOTUS-Former First Lady of United States




A three-dimentional tabletop map stands before an eight-foot by eight-foot video screen displaying a map of downtown Denver during a news media tour of the United States Secret Service's Denver Multi Agency Communications (Command) Center August 22, 2008 in Denver, Colorado.


A wall chart keeping track of former U.S. Presidents Bill Clinton and Jimmy Carter and former first ladies Sen. Hillary Clinton (D-NY) and Rosalynn Carter hangs on the wall of the United States Secret Service's Denver Multi Agency Communications (Command) Center
 
Tunaomba mtuwekee ya Tanzania,Kenya, Uganda, Rwanda,Burundi na DRC
 
Tujikumbushe kidogo

As noted in the Obama- and Hillary-Protect series, their Secret Service candidate-protective agents hold their hands at waist height, particularly in crowds, but also when standing guard. Presumably this allows quick action against hands of attackers or to draw weapons. Do other protective and/or law enforcement officers use this hand positioning?

A quick comment on your question about the hands position of the SS agents. I have worked as a bodyguard in Japan for a long time. This was one of the first lessons I received from people I was working with: when escorting the principal through a crowd of people who are expecting him and engaging in contact with him (shaking hands, asking for an autograph, etc.), you hold your hands somewhere around the level of your lower ribs, like in this picture

or the guy in the background (between Hillary and the black lady)


Reason for this is that if there's a stabbing attempt or something similar you can quickly react and slap/push down the attacking arm quickly, without having to waste precious moments on raising your own arms and then changing the direction of movement of your hand (losing more time) and pushing theirs down. In most of other pictures, where the hands are at the general hip level, it's just a regular 'ready for action' stance.
 
Tunaomba mtuwekee ya Tanzania,Kenya, Uganda, Rwanda,Burundi na DRC

ya tz?????dream on musee wataka JF yetu ifungiwe kabsaa?

utaambiwa its against usalama wa taifa n if u have noticed kwenye ile ya zamani kulikua na hadi picha za muungwana na wa zenji iliporudishwa hii thread na ku editiwa picha zoote za bongo zimetolewa ikiwemo hata zile za bush alipokuja tz if m nt mistaken
 
Counter Assault Team au CAT kama wanavyojulikana[Soma hapa], ndani ya bongo wakati Bush yuko Tanzania.


Hao niliowawekea blue arrows ni watanzania? Naona gari la CAT liko nyuma ya Bush na Kikwete.
 

Nafikiri kampuni ya nguo ya UNDER ARMOUR wanapata chati sana kwa hizi picha kwa sababu marketing strategy yao ni foot wear na clothes kwa tough people...eg. Marines na NFL players.
 
SECRET SERVICE wetu wa TANZANIA ni hawa hapa jana wakati wa sherehe za Uhuru pale TAIFA








NAONA wamejaa vitambi vya BIA tuuuu
 
SECRET SERVICE wetu wa TANZANIA ni hawa hapa jana wakati wa sherehe za Uhuru pale TAIFA
NAONA wamejaa vitambi vya BIA tuuuu

-Commander In Chief
-Chief of Defence Force
-Aide-de-camp
**Je,Huyo bwana mwenye suti ni Chief of Protocol au???-msaada kwenye tuta.
 
sio vitambi vya bia tu,bali na kushow off kwingiiiiii!kama hiyo kuninginia kwenye gari nyuma...aint dat important at ol!anyways my one n only wish kwa hawa watu wa itifaki ni siku litokee la kutokea tuone watakavyo respond kama sio wengine kutapika ze lagaz n dagaaz!
 


Dibas naye wamo...Na hapo chini ni security bunker ya Bush...Nadhani huko white house...Akiingia humo basi.

 


Dibas naye wamo...

Thanks for pic, mkuu mzee wetu huyu!


At least ulinzi wake sio complicated wa kawaida watu wasimsumbue, mzee hana shida na mtu,marais wote wenye matatizo ndiyo wanakuwa na mabodyguard mpaka washingrooms no maliwatoni!
 
SECRET SERVICE wetu wa TANZANIA ni hawa hapa jana wakati wa sherehe za Uhuru pale TAIFA








NAONA wamejaa vitambi vya BIA tuuuu

Hehehe, kuna mtu nimemuonyesha hizi picha comments alizonipo nimeona aibu kiaina.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…