Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Siku January Makamba akiwa raisi na yeye itakuwa hivi hivi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku January Makamba akiwa raisi na yeye itakuwa hivi hivi...
Siku January Makamba akiwa raisi na yeye itakuwa hivi hivi...
...kama hilo?
![]()
Siku January Makamba akiwa raisi na yeye itakuwa hivi hivi...
Ntaomba kazi niwe bodyguard wake...may be bodyguard wa kwanza mwanamke in Tanzania?
(mtanisamehe lakini, maana nitakuwa nikisikia honi tu, namwangusha na kumcover kujifanya nawajibika...) lol!
Lol umem quote NN kama mara tatu hivi na maneno yale yale.
Nyani Ngabu ananianza tena, nilijinyamazia naona hakuwa na raha...mi namsemea kwa KELLY
You just have to love the Americans, this article is very lengthy but it is worth reading.
Hahaha. Maybe you are giving him what he wants. Kwa kumjibu ndiyo una mpa na mengine ya kusema.
As the manual states, ‘Advancing is an art'. In eight years, a US president makes about 3,000 public appearances, 800 of which will be abroad. Each foreign appearance requires a site survey by more than 100 Advance Team members, more if it's a RON (Remain Overnight Visit).
Yaani wewe, naona utanifuata mpaka ****** kuhusu JM. Nimejimazia lakini wapi!, nitakusemea kwa kelly sasa hivi!
...I can't help but laugh!...lol!
Una matatizo wewe tena si madogo!...naona mmeamua kunisurubisha na huyu January M.
Ntaomba kazi niwe bodyguard wake...may be bodyguard wa kwanza mwanamke in Tanzania?
(mtanisamehe lakini, maana nitakuwa nikisikia honi tu, namwangusha na kumcover kujifanya nawajibika...) lol!
NYANI NGABUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
Mbona umekimbia tena????????
Umenisikia lakini???????...
Am going to be the first woman bodyguard in Tanzania to then, President January Makamba of Tanzania.
(ngoja niende gym...)
Nyani Ngabu ananianza tena, nilijinyamazia naona hakuwa na raha...mi namsemea kwa KELLY
Nyani ngabu,
Na Tizi nitakalo jifunza, lita specialize kwa "men president's only" ...lol!
Unaweza kunifanyia mimi hayo mazoezi....nitakuachia unipige mtama....unirukie kama vile unanikinga nisipigwe shaba...nitakuachia uniangukie...chochote unachotaka kufanyia tizi mi ntakuachia tu...
Na mimi nimetoka gym. What did you work on today?