Walinzi wa Wake wa Marais wa Rwanda na DRC Wazozana Katika Hoteli nchini Marekani

Walinzi wa Wake wa Marais wa Rwanda na DRC Wazozana Katika Hoteli nchini Marekani

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Maafisa wa usalama wanaomlinda Mke wa Rais wa Rwanda, Jeannette Kagame, na wale wa Mke wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Denise Nyakeru Tshisekedi, walihusika katika mzozo mkali kwenye hoteli moja mjini New York.

Tukio hilo lilitokea wakati viongozi hao wawili walipokuwa nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). Inaripotiwa kuwa mvutano ulianza katika eneo la mapokezi la hoteli hiyo (lobby) wakati misafara ya pande zote mbili ilipokutana kwa bahati mbaya.

"Bi. Nyakeru alikuwa miongoni mwa wake wa marais waliohudhuria hafla kwa mwaliko wa mwenzao wa Marekani, Melania Trump.

Mamlaka za Marekani bado hazijatoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo.

Ubalozi wa Rwanda mjini Washington ulisema 'mwanachama mmoja wa timu ya usalama ambaye hakuwa na silaha wa kiongozi wa ngazi ya juu (VIP) wa Rwanda aliyekuwa amefikia katika hoteli ya Washington DC, alikutana bila kutarajia na maafisa wa usalama wa ujumbe wa DRC kwenye korido ya hoteli inayotumiwa na wageni wote. Ujumbe wa nchi zote mbili ulikuwa umefikia katika hoteli hiyo hiyo.'

Rwanda inawashutumu maafisa wa usalama wa DRC kwa kumzuia mwanachama wa timu ya usalama ya Rwanda kutumia asansota (elevators) za hoteli, ambazo zilipaswa kutumiwa na timu zote mbili kama wakazi wa hoteli hiyo, jambo lililopelekea mzozo huo.

============ For English Audience ============​

The hostilities between Rwanda and the Democratic Republic of Congo played out on American soil this week after security aides clashed in hotel lobby where Denise Nyakeru, DRC’s First Lady, was staying, leading to accusations of an assassination attempt.

DRC government spokesman Patrick Muyaya said, “There was an attempt to break into the room of the First Lady by what we suspect to be Rwandans, but we are still working with American authorities, and we don’t want to speculate, but the First Lady is very well.”"

Ms Nyakeru was among first ladies attending events on the invitation of their American counterpart, Melania Trump.

US authorities are yet to issue any statement regarding the incident.

Rwandan embassy in Washington said "an unarmed member of the security detail of a Rwandan VIP staying in a Washington DC hotel inadvertently encountered security agents of a DRC delegation in a hotel hallway accessible to all guests. Both delegations were staying at the same hotel.”

Rwanda accuses the DRC security agents of blocking a member of Rwandan security team access to hotel elevators, which were supposed to be used by both teams as residents of the hotel, leading to the scuffle.

“The Rwandan detail member was briefly restrained from accessing the elevator by the DRC security agents, which was inappropriate and wrong behaviour in a common area, but the matter was eventually resolved without further escalation”

SOURCE: THE EAST AFRICAN​
 
Back
Top Bottom