poa poa fanya kwel mkuu...ngoja ni ku pm
Oya wadau mnaonaje nikiweka hii link ya matokeo ya selection ya udzm maana inakuwa sio pouwa kupeana ma presha ya ajabuajabu kutoka kwa wapumbavu baadhi wanao post thread zisizo na ukweli ndani Yake !! Ni kheri nikate mzizi wa fitina ni hivi leo naweka hiyo link ujijue kama humo au haupo..au mnasemaje wadau..
La Cosa...kaka nilimbeba 3rd year semister zote 2 ila hakuwa pasua kichwa sana, life la Mabibo naona lipo pouwa kuliko campus, ukikaa hall 2 au 1 balaa bora hall 7 ndio zuri wamelikarabati mademu wanakaa mule! Unamkumbuka yule muuza makaratasi rasta?
Dah kaka sikukaa zaidi ya mwezi nikasepa mkuu.....Hall 2 noma....chafu vibaya halafu kama limeinama hivi kama linataka kuanguka...duh....yale majengo tunayatamanigi mpaka uishi pale ndio utakubali....halafu wanachuo washaacha tabia za kuibiana nguo ukianika??