Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
B.com in finance wamechukua mwisho two ya 11, B.com in Accounting wamechukua mwisho two ya 12. over
jamaa angu baba ake ni profesor pale udzm kaja hme kwao na cd ya admissn ndo kanichekia yangu ka vp ni2mie jina lako akachekie
inauma sana why? Wameniacha wakati mtu wa mwisho ana point sita and mimi nina 7
Uuuwiii... Nimelambwa mkono, vp DIT, ARDHI & UDOM?
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!
1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12
But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
mi nliapply bsci with geology na actuarial kama vp nichekie bas??kama unaweza nikupe jina??daah kaka mi na informatn za udzm tu !! Ila kitu naskia ni week HII
dah fununu za md na mapharmacy yamekaaje