Walio apply udzm 2012 soma hapa

Walio apply udzm 2012 soma hapa

Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!

1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12

But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7

dah ebu 2tafutie na data za muhimbili kcmc na bugando mkuu ebu toa ufafanuzi kama unao
 
unashangaa nini sasa? una cut off point 7 ndo nini? ulitaka kusema una point 7?
 
dah ebu 2tafutie na data za muhimbili kcmc na bugando mkuu ebu toa ufafanuzi kama unao

mmh hapo uwongo mbaya sina data zozote but selection zinatoka jumatatu tarehe 13 over
 
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!

1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12

But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
mjomba, hii ni course gani?
 
Mwisho wa ubishi, kesha kutumia? Prof.amewaachia kopy ya CD unayo hapo?

majina Yote yako ndani ya laptop yake kwa xaxa xo sema jina lako na kozi uliyochua nikupe informatn
 
Back
Top Bottom