mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 978 Reaction score 1,766 Jun 4, 2015 #1 Wadau habari zenu Nimepewa taarifa na rafiki yangu kuwa wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu watajiunga na JKT soon. Je, habari hizi ni za kweli? Msaada tafadhali
Wadau habari zenu Nimepewa taarifa na rafiki yangu kuwa wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu watajiunga na JKT soon. Je, habari hizi ni za kweli? Msaada tafadhali