mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
Wadau habari zenu
Nimepewa taarifa na rafiki yangu kuwa wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu watajiunga na JKT soon. Je, habari hizi ni za kweli?
Msaada tafadhali