well hii barua sawa lakini naitilia shaka kwa upande fulani, itakuwaje iandikwe wazi namna hiyo wakati inajulikana ni siri kubwa? sitaki kuamini kuwa tunao viongozi bogus namna hii hata kutenda kosa wanakosea tena!
Ngoja naweka by attachment muheshimiwa View attachment 16233
nafikiri mpaka hapo utakuwa umepata picha ya tunachokiongelea
kikwete ndugu yangu muonee huruma amechoka maana nasikia jana amekesha akicheza kiduku kusherehekea uchakachuaji.wale wazee wa kikao cha siri huko mjini mwanza kwaajiri ya kuweka mazingira mazuri ya ccm kushinda wameongea na watanzania,, kilamtu alikuwa akijiumauma na kusingizia publicity, ,hivi hawa watu wakienda kule usiku haiwezekani kurudi usiku bila watanzania kujua? Hii ndo maana ya kikao cha siri..
Mr. Gachuma anasema hakuwepo lakini hajasema alikuwa wapi, na kwenye barua yupo iliyosainiwa na mwanza municipal council director mr. Wilson kabwe,,
ridhwani anasema ahukwepo akitoa sababu nyingi zisizo aminika
rostam azizi anasema alikuwa south afrika,, akiwadanganya wananchi kuwa yeye ni mtu wa safari wakati kipindi hicho kilikuwa cha lala salama kwenye kampeni,, na kwenye barua nayeye yupo
lakini katika |woote walioongea kikwete hajaongea kwasababu anaona aibu ile barua inaonesha kila kitu...
Watanzania hatudanganyiki kwasababu kilicho andikwa mule ndicho kilicho fanyika lakini mulishindwa tu kufauli missio yao kwasababu watanzania wameamua kubadilika sasa
.well hii barua sawa lakini naitilia shaka kwa upande fulani, itakuwaje iandikwe wazi namna hiyo wakati inajulikana ni siri kubwa? sitaki kuamini kuwa tunao viongozi bogus namna hii hata kutenda kosa wanakosea tena!
Me nadhani kuna haja ya kuundwa tume huru ya kuchunguza uchaguzi ulikuwa na mapungufu gani na watu walichangia kuwepo kwa vurugu na kuwakosesha imani wapiga kura waliokuwa wakisubili matoke yatangazwe na yakachukua muda usiokubalika machoni pa wengi hata waangalizi walilisema hilo.
Hivyo basi NEC ikubali tu kuwa ilikuwa na mapungufu tena mengi na ndio yaliyo sababisha wananchi kutokuwa na imani na matokeo yanayotajwa mpaka sasa, na hilo swala la kuchelewesha matokeo kutangazwa kweli ndio lililo wafanya wananchi kujiuliza na kupoteza uvumilivu wa kusubili na kushinikiza matokeo yatangazwe kwa vurugu na kwa kuaaa kwenye malango ya manispaaa mikoani na wilayani usiku kucha
Kama Dr. Slaa anaitumia barua hii kama msingi wake wa malalamiko, hapo ameshashindwa na ikienda mahakamani hii barua itamwumbua sana.
Huhitaji hata kuwa na akili kubwa kujua hiyo barua ni fake. Na ikienda mahakamani itachambuliwa kama njugu.
Ubaya wa mahakama, wakigundua umetoa barua fake, madai yako mengine yote hata yale ya maana yanatupwa.
Hili la barua hii pamoja na lile la kontaina lenye kura fake huenda Slaa alitegeshewa makusudi na wajanja ili waanze kuthibitisha ni muongo na mropokaji.
Kibaya mwandishi ametaja na sehemu walipokutana. Mtu mmoja au wawili wakiwa na alibi kuonyesha isingeliwezekana wawe Mwanza wakati huo, madai yote yanaporomoka hapo hapo.
mkuu uliyemchambua Rithwaani ugreat thinker nimekukubali, ila swali la pili kwa nini iwe mwanza tu na majimbo hayo mawili na si kwingine, ndugu sensa nisaidie ktk hili tafadhali
Wale wazee wa kikao cha siri huko mjini mwanza kwaajiri ya kuweka mazingira mazuri ya CCM kushinda wameongea na watanzania,, kilamtu alikuwa akijiumauma na kusingizia publicity, ,hivi hawa watu wakienda kule usiku haiwezekani kurudi usiku bila Watanzania kujua? hii ndo maana ya kikao cha siri..
Mr. Gachuma anasema hakuwepo lakini hajasema alikuwa wapi, na kwenye barua yupo iliyosainiwa na Mwanza municipal Council Director Mr. Wilson Kabwe,,
Ridhwani anasema ahukwepo akitoa sababu nyingi zisizo aminika
Rostam Azizi anasema alikuwa South Afrika,, akiwadanganya wananchi kuwa yeye ni mtu wa Safari wakati kipindi hicho kilikuwa cha lala salama kwenye kampeni,, na kwenye Barua nayeye yupo
Lakini katika |Woote walioongea Kikwete hajaongea kwasababu anaona aibu ile barua inaonesha kila kitu...
Watanzania hatudanganyiki kwasababu kilicho andikwa mule ndicho kilicho fanyika lakini mulishindwa tu kufauli missio yao kwasababu watanzania wameamua kubadilika sasa
.
Kwani unawaona wahaini hao kuwa ni watu makini? Mipango yao mingi ya wizi wa kura itajulikana na kuanikwa hadharani na hapo ndipo utajua kuwa nchi yetu inaongozwa na watu wasio makini na ambao ni kama Watawala wa Roma ambao walipoambiwa kuwa utawala wao unaanguka badala ya kunyanyuka na kuchukua hatua wengi wao walipuuza kauli hizo na kujitumbukiza kwenye anasa na matanuzi ya ajabu. Pale watumwa na watumishi wao wa ndani walipowafukuza kwenye makao yao hawakuamini kuwa himaya yao ilikuwa imekwisha anguka.
Vivyo hivyo ndivyo itakuwa kwa CCM kwani muda mfupi ujao itaanguka kutokana na kuongozwa na watu wanaopuuza historia na wanaodhani kuwa kwa kuendelea kuwapuuza Watanzania huku wakitumia nguvu ya dola wataendelea kuwa madarakani. Nawaonea huruma sana kwani mwisho wao huu karibu na ukifika wengi wao watakuwa ni wapangaji wa kudumu wa Ukonga, Segerea, na sehemu kama hizo huku "mali zao" zote walizozichuma na kulimbikza hata kwa majina bandia au jamaa zitakuwa mali za Watanzania. Yote wanayoyafanya hivi sasa yanapalilia wao kufikia huko. Heri yao watakaotubu na kujiunga na upande wa haki, ukweli na uzalendo.