Hiyo ni kozi ya biashara, uwezekano wa kupata mkopo ni fifty-fifty sana, kwa sababu kuna watu wengi sana wanadahiliwa kwenye kozi za biashara hivyo ushindani ni mkubwa sana unless labda ungekuwa na division one ama kama ni female!!
Yote kwa yote fanya haya kulingana na mfuatano(Descend order):
1/Chunguza kama kuna watu wenye sifa kama zako na wamepata mkopo ili ujenge sababu ya wewe pia upewe mkopo.
2/Fuatilia hizo 600 reserves chances ofisi za bodi ya mikopo maana huenda na wewe umo.
3/Fikiri kukomaa kibishi bila mkopo kwa namna yoyote ikibidi wazee nyumbani wale bamia mpaka ziote tumboni lakini kijana wao upate elimu ya chuo kikuu!!
4/Fikiri kubadili kozi kama inawezekana na kama itakupa nafasi ya wewe kupata mkopo.
5/Jiandae kuwahamasisha wanafunzi wenzako kwa ajili ya kufanya mgomo mkubwa sana ambao utapelekea wewe kupata mkopo au kufungwa chuo!!
6/Kubali kwa masikitiko makubwa sana kurudi nyumbani kwenda kufanya issue nyingine za kimaisha.