Walio maliza chuo hawana ajira , walipwe posho na serikali ya 50,000. Kila mwezi

MendeOLD

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
196
Reaction score
405
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Unataka tuwalipe kwa kazi gani?
Hebu nenda kalime huko!
 
Uza jicho. Wateja kibao na tutakulipa Hata 500,000/mshindo. Zingatia usafi wengine haupendi harufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…