Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kwa watoto wa shule ya msingi.Tilapia beach ndo kila kitu
Sisi tunaokaba madenti ndo pande zetuKwa watoto wa shule ya msingi.
Wanasema Mkwere ana Mkono wake hapo, ni kweli...!?Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.
Ungesem na ww unaend hapo,wasingekosekana members kam 10 kuku join