Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa watoto wa shule ya msingi.Tilapia beach ndo kila kitu
Sisi tunaokaba madenti ndo pande zetuKwa watoto wa shule ya msingi.
Wanasema Mkwere ana Mkono wake hapo, ni kweli...!?Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.
Ungesem na ww unaend hapo,wasingekosekana members kam 10 kuku join