Walio omba SAUT Bukoba

Walio omba SAUT Bukoba

Joined
Aug 16, 2014
Posts
58
Reaction score
4
Kwa wale waliomba SAUT Bukoba majina yametumwa kwenye email zao na sms kwenye namba zao za simu.

Kufungua chuo ni 19 Sept
 
Hata Jordan university wameshawatumia vijana waliochaguliwa pale kwa sms na email.
 
Back
Top Bottom