Wewe ulikua unalala bweni gani? kilimanjaro, Kenya, Elgon. ulishawahi kwenda rocks na vatican? unamfahamu Mama Bahati?, ikemefuna, bonding, nyawawa, dubu, bauncer na kaliko? ushwahi kuzibua? unamfahamu Rutanjuka au ndyetabula?
Unapafahamu shimo la udongo? Ulishawahi kwenda Rugie?. hahahahaaaaa...umenikumbusha mbali sana.
mwalimu HAta kapewa ukuu wa Shule? usintanie. Yule mkuu wa shule alotolewa Maluku yupo wapi?(baba Pendo)Kuna mmoja umemsahau anaitwa Hanta. Jamaa matata sana huyu, ni mkuu wa shule siku hizi alisha poa. Nyawawa ni s/master pale Ihungo kwa sasa. NAWAOMBEA walimu wange Akina: Katundu, Rugaimkamu,MWESIGA,ADAM wapumuuzike kwa amani(RIP).
nimemaliza 2000 0 levelKASTAAFU KITAMBO NADHANI 2010. Jua amestaafu. Vipi umesoma pale mwaka gani? A-LEVEL AU O-LEVEL?
Wana janvi kwa wale walio soma Shule ya Sekondari Ihungo waje tufahamiane. Mimi nilisoma pale 2000s.
Vipi kuhusu Cub ya Mafupa na vibalagala?.Kaka hapo naona umeweka kanisa la Roman, Computer lab. Unanikumbusha mbali sana! Pia kibao cha shule pale Bugashani almarufu kama junction. Nilikuwa nalala bweni la Kenya, kisha MERU na Advance nikalala bweni la ULUGURU. Kwa kweli ni bonge la shule.