Walio soma Ihungo sekondari tufahamiane

Walio soma Ihungo sekondari tufahamiane

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Wana janvi kwa wale walio soma Shule ya Sekondari Ihungo waje tufahamiane. Mimi nilisoma pale 2000s.
Ihungo.jpg

12678429.jpg

20021201_0024.jpg

kwangul.jpg

transpanl.jpg
 
Wewe ulikua unalala bweni gani? kilimanjaro, Kenya, Elgon. ulishawahi kwenda rocks na vatican? unamfahamu Mama Bahati?, ikemefuna, bonding, nyawawa, dubu, bauncer na kaliko? ushwahi kuzibua? unamfahamu Rutanjuka au ndyetabula?
Unapafahamu shimo la udongo? Ulishawahi kwenda Rugie?. hahahahaaaaa...umenikumbusha mbali sana.
 
Kuna mmoja umemsahau anaitwa Hanta. Jamaa matata sana huyu, ni mkuu wa shule siku hizi alisha poa. Nyawawa ni s/master pale Ihungo kwa sasa. NAWAOMBEA walimu wange Akina: Katundu, Rugaimkamu,MWESIGA,ADAM wapumuuzike kwa amani(RIP).
 
mwalimu HAta kapewa ukuu wa Shule? usintanie. Yule mkuu wa shule alotolewa Maluku yupo wapi?(baba Pendo)
 
BANYENZA alistaafu, sikuhizi mwanasiasa ni diwani wa kata moja hapo Bk, Hanta mkuu wa shule bwana siku hizi pamoja na Mjeshi nae alishapewa shule ya Mgeza. Fabian pia mkuu wa shule pale kashai. MKUU wa shule Ihungo kwa sasa ni Boniventure alikuwa mwl wa Bukoba sec.
 
KASTAAFU KITAMBO NADHANI 2010. Jua amestaafu. Vipi umesoma pale mwaka gani? A-LEVEL AU O-LEVEL?
 
Mimi nimepiga 2002 hadi 2008 chini ya utawala wa Banyenza
 
Wana janvi kwa wale walio soma Shule ya Sekondari Ihungo waje tufahamiane. Mimi nilisoma pale 2000s.
Ihungo.jpg

12678429.jpg

20021201_0024.jpg

kwangul.jpg

transpanl.jpg

Kaka hapo naona umeweka kanisa la Roman, Computer lab. Unanikumbusha mbali sana! Pia kibao cha shule pale Bugashani almarufu kama junction. Nilikuwa nalala bweni la Kenya, kisha MERU na Advance nikalala bweni la ULUGURU. Kwa kweli ni bonge la shule.
 
Vipi kuhusu Cub ya Mafupa na vibalagala?.
 
Back
Top Bottom