Walio wahi kusoma mchikichini na mapambano

Walio wahi kusoma mchikichini na mapambano

da ebhana nmegombania sana mlangoni kw hidden kaa sana chini pindi za math's,ila muddy physics hatari sana huku mbuga chemistry n bios ,da kura sana pesa zangu xema mapindi mazuri sanaa!!!
 
Osama mzee wa kuzunguka nyuma anaenda kuonja then pind linaendelea.

mwanzon nlkuaga cjui baadaye nkajuaga anaendaga kufanya nn mchz aliyekuwa anachukua pesa alimgea ndo nkaona nlcheka sanaaa.....
 
Aza boy wote waliamia mchikichini , wanatoka kwa Ngida wanaelekea kwa Mudy au Mzee wa Namba Hidden Agenda., Akatokeaga Mtaalam wa Namba Mtata Mtatuz akamfunika Hidden ila baadae aliondoka!
 
Mbuga noma, nakumbuka kuna day ilikuwa mambo ya albinism anafundisha, sasa maswali yakawa mengi pia alikuwepo Albino ktk pindi, basi watu wakahamaki kwa kupoteza muda wa kuuliza maswali, mchizi mmoja akaropoka kama vipi tafuta muda wa ziada umuulize maswali yule albinism. Watu, haaaaaaa
 
Back
Top Bottom