Unahitaji either IELTS (International Ennglish Language Testing system) kama utaenda kusoma in a common wealth coutry like UK or Australia, and TOEFL (Test of english as Foreign Language) kama utaenda US. Zote mbili zinahitaji training kidogo.hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all
Unahitaji either IELTS (International Ennglish Language Testing system) kama utaenda kusoma in a common wealth coutry like UK or Australia, and TOEFL (Test of english as Foreign Language) kama utaenda US. Zote mbili zinahitaji training kidogo.
IELTS test zinafanyika in Australia and UK embassies while TOEFL zinafanyika in dedicated TOEFL centers. good luck!
Hapo penye languaage test done by ndipo penye tatizo. lazima iwe internationaly recognised body. Kama unaweza kuwasiliana na waliokutumia form waulize kama wanakubali matokeo ya test zisizo kua IELTS wala TOEFLsorry mkuu kwa vyuo vyetu vya hapa bongo hawawezi toa? Sababu ninaform title imeandikwa language knowledge alafu ndani yake wameuliza uwezo wa kusoma, kuandika na kusikia zen mwisho wameandika language test done by, pia kuna nafasi ya comment. Je hio form naweza jaziwa wapi bila certificate
Hebu kuwa specific mkuu, unataka kwenda nchi gani? Kwa nchi kama Belgium,Netherland na nchi nyinginezo zote za Eastern Europe hapo kwenye language proficiency unaweza jaziwa na chuo kikuu ulichosoma na hakuna tatizo. Asia, latin america pia hivyo hivyo lakini kwa Australia,U.K na U.S na baadhi ya nchi za West Europe ndiyo hapo hizo TOEFL na EILTS hazikwepeki.
nataka kwenda china.
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all
China ipo Asia mkuu so fuatilia uzi wangu hapo juu uone inafall katika group gani!!Lakini kwa wale wanaopata scholarship za serikali ya china (CSC) sijawahi sikia wakisema wanatakiwa waambatanishe chochote kuhusiana na uwezo wao wa kiingereza! Sijui lakini kwa ninavyofahamu wachina hawana complications we peleka chuo kikuu ulichosoma wakujazie tu fasta.
Hapo kwenye red! Aisee kwa hichi kizungu ,! ni kweli unaitaji kupigwa msasa wa lugha
sorry man i was meaning 'really i need it agently' nakubari nimekosea
nataka kwenda china.