Walio wai kusoma nje ya tz

Walio wai kusoma nje ya tz

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,736
Reaction score
1,446
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all
 
Nadhani hiyo wanatoa British Council baada ya kufanya TOEFL test.
 
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all
Unahitaji either IELTS (International Ennglish Language Testing system) kama utaenda kusoma in a common wealth coutry like UK or Australia, and TOEFL (Test of english as Foreign Language) kama utaenda US. Zote mbili zinahitaji training kidogo.
IELTS test zinafanyika in Australia and UK embassies while TOEFL zinafanyika in dedicated TOEFL centers. good luck!
 
sorry mkuu kwa vyuo vyetu vya hapa bongo hawawezi toa? Sababu ninaform title imeandikwa language knowledge alafu ndani yake wameuliza uwezo wa kusoma, kuandika na kusikia zen mwisho wameandika language test done by, pia kuna nafasi ya comment. Je hio form naweza jaziwa wapi bila certificate
 
Hapo penye languaage test done by ndipo penye tatizo. lazima iwe internationaly recognised body. Kama unaweza kuwasiliana na waliokutumia form waulize kama wanakubali matokeo ya test zisizo kua IELTS wala TOEFL
 
Nenda UCC,Pale University of dar es salaam,Main Campus,wanatoa Toefl.
 
Hebu kuwa specific mkuu, unataka kwenda nchi gani? Kwa nchi kama Belgium,Netherland na nchi nyinginezo zote za Eastern Europe hapo kwenye language proficiency unaweza jaziwa na chuo kikuu ulichosoma na hakuna tatizo. Asia, latin america pia hivyo hivyo lakini kwa Australia,U.K na U.S na baadhi ya nchi za West Europe ndiyo hapo hizo TOEFL na EILTS hazikwepeki.
 
nataka kwenda china.
 
nataka kwenda china.

China ipo Asia mkuu so fuatilia uzi wangu hapo juu uone inafall katika group gani!!Lakini kwa wale wanaopata scholarship za serikali ya china (CSC) sijawahi sikia wakisema wanatakiwa waambatanishe chochote kuhusiana na uwezo wao wa kiingereza! Sijui lakini kwa ninavyofahamu wachina hawana complications we peleka chuo kikuu ulichosoma wakujazie tu fasta.
 
Nenda ucc pale university of dar au chuo cha mwalimu nyerere kigamboni utapewa maelezo
 
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient. Sijui ntapata wapi? Alafu wameweka na form ya kujaza ya language knowledge so sijui wapi ni sahihi kwenda kufuatilia kwa anaejua please nisaidie kwa namba 0753055509. I really agently need help. Thanks in advance you all

Hapo kwenye red! Aisee kwa hichi kizungu ,! ni kweli unaitaji kupigwa msasa wa lugha
 
China ipo Asia mkuu so fuatilia uzi wangu hapo juu uone inafall katika group gani!!Lakini kwa wale wanaopata scholarship za serikali ya china (CSC) sijawahi sikia wakisema wanatakiwa waambatanishe chochote kuhusiana na uwezo wao wa kiingereza! Sijui lakini kwa ninavyofahamu wachina hawana complications we peleka chuo kikuu ulichosoma wakujazie tu fasta.

thanks mkuu umenisaidia sana mungu akubariki
 
sorry man i was meaning 'really i need it agently' nakubari nimekosea

Dogo kuwa msomim si lazima uandike kiingereza, hii ni lugha ngeni kwako ANDIKA KISWAHILI TU, Angalia hapo umeandika nini sasa? Yaani umeandika kiingereza kwa kiswahili sahihi yake labda ungeandika hivi " I am very sorry I meant I am urgently in need of it" You can not say "I was meaning"
 
nataka kwenda china.

China wenyewe Kingereza siyo lugha yao lakini wanahitaji certificate of language proficient?

Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza na uliifanya kwenye recognised institution hakuna haja ya kufanya IELTS au TOEFL.

Unawezafanya hivi. Kama degree yako ya kwanza ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza, nenda kwenye department/school uliyosomea hiyo degree waombe wakupe barua ya kudhibitisha kuwa degree ulisomea kwa lugha ya Kiingereza.

Lakini hakikisha hicho chuo ni internatioanlly recognised institution. Kama ni degree kutoka vyuo vya voda fasta itakubidi ufanye IELTS au TOEFL?
 
gakato, thank you so much for taking time to enlighten our young adults who are in great need of help. Yaani tatizo la lugha ya kiingereza ni kubwa kuliko ambavyo tungetaka kuamini.

Whatever we do in life, lets try to make excellency part of our character. Not only aiming to get certificates from institutions we are in but also making sure that the quality of our ideas/knowledge/language speaks louder of who we are than our words!

Tujitahidi.
 
Pamoja na ushauri wote huu ndugu yangu kumbuka pia hawatoi bure utahitaji kulipia, mara ya mwisho mimi nilikuwa nataka kwenda USA nilikwend pale UDSM wakanichaji 50,000Tshs and that was in 2007! na hii ni kwa sabau nilikuwa na uthibitisho kuwa degree ya kwanza nilisoma pale!
 
Back
Top Bottom